Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Habari za mchana wana gunners na karibuni uwanja wa Emirates.

Leo ni kati ya Arsenal na Everton ya Merseyside Liverpool.

Jina la Merseyside linatokana na mto Mersey moja ya mito mikubwa nchini Uingereza.
 
For our English audience, Richard is at the Emirates Stadium this afternoon; we'll have team news and all your build-up coming your way soon.

But be warned, I will be using kiswanglish so don't worry too much.
 
Our starting XI
IMG_8976.JPG
 
Timu hizi zimekutana mara 52 Arsenal ikishinda mechi 32 na Everton mara 7

Arsenal imefunga magoli 10 dhidi ya Everton msimu ulopita Arsenal ikishida 5-1 Goodison Park na 5-1 Emirates dhidi ya timu hiyo.
 
Team news:

Arsenal: Cech, Bellerin, Mustafi, Papastathopoulos, Monreal, Torreira, Xhaka, Ozil, Ramsey, Aubameyang, Lacazette.

Bench: Elneny, Lichtsteiner, Holding, Iwobi, Leno, Welbeck, Guendouzi.

Everton: Jordan Lee Pickford (kipa wa Uingereza), Kenny, Keane, Zouma, Digne, Gueye, Davies, Theo Walcott, Sigurdsson,

Richarlison, Calvert-Lewin.

Bench: Holgate, Baines, Tosun, Schneiderlin, Bernard, Stekelenburg, Lookman.

Mwamuzi anaitwa Jonathan Moss ambae anataka kamji ka Durham

Kikosi kimetulia na Lucas Torreira leo kwa mara ya kwanza anaanza game.
 
A debut for Lucas Torreira and a 100th Arsenal appearance for Granit Xhaka. That includes 57 consecutive appearances in the Premier League, 56 as starts.

He must be doing something right.
 
1537715145625.png

Theo Walcott amerudi Emrates.

Mpira ulikwishaanza na dakika 5 zimeenda goli ni 0-0

Kama kawaida jezi za Arsenal ni nyekundu na nyeupe na Everton ni za rangi nyeusi zenye mischirizi ya pink.
 
Kwa mlioko kwenye runinga zenu mtagundua kwamba viti vingi bado havina watu kutokana na ukaguzi wa hali ya juu katika milango ya kuingia uwanjani humu.

Ila muda si mrefu uwanja utajaza.
 
Dakika yaenda ni 18 na Arsenal 0 Everton 0

Lucas Torreira anapewa kadiya njano kwa mchezo mbaya dhidi ya Sigurdsson na mwamuzi Ross anaongea na Granit Xhaka kwa kunyanyua daruga.
 
Dakika 30 zimekwenda na kila timu inajjjitahidi kutafuta nafasi.

Arsenal bado wanajipanga taratibu.

0-0
 
HT
Arsenal 0-0 Everton
Cech leo ndio ametufanya tuwe na matokeo haya bila juhudi zake za ziada tungekua tumechapika mpaka muda huu.
 
Toreira out---matteo guendouzi in

Apo ndio mpira utakaa chin na awa mbuz tutawatandika vzur tu
 
Everton leo wako vizuri sana wamefanya game imekua tamu sana.

NI kweli wamemtumia sana Theo Walcott pembeni lakini meneja wao Marco Silva hatakuwa na furaha ingawa anachekelea 1 point.

Guendouzi ataingia badala ya Torreira kwani Torreira na kadi ya njano tayari ambayo inamzuia kuwa huru kufanya tackles za maana.

Sasa hivi Arsenal wana Plan B endapo Plan A inashindwa.
 
Back
Top Bottom