Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna katabia wale wachezaji under AW wanako, kanaudhi mno, kanakera mpaka washindwa kumeza mate, wanapoondoka tu Arsenal, ghafla wako serious na kucheza mpira wa maana, wa kujituma, tunamshuhudia Theo Walcott leo!
mother***kers, ndorobo kabisa hao..
 
Walcot anataka ku-justfy kitu lakini Nacho Monreal yupo macho anamdhibiti.

Si unafahamu ukiweka mzigo ndani ya kikapu?
 
Arsenal are winning games when playing badly. Top teams find a way to win even when playing badly.

Mesut Ozil haonyeshi kucheza kwa bidi kabisa sifahamu amekumbwa na nini!

Nadhani siku si nyingi Unai Emery atakuwa akimweka bench.
 
That means winning mentality, kuna haja gani kucheza vizuri afu tufungwe?
 
Arsenal ya Wenger baada ya kuwa mbele kwa goli mbili Everton wangefanya jitihada magoli yarudi.

1537721551364.png
 
Back
Top Bottom