Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ozil na Ramsey mmoja wao au wote watatolewa kwani wapo too slow.

Ngome ya Arsenal bado iko imara na itategemea sana makosa ya beki mmojawapo Watford kupata goli.

Tunangojea kuona Watford wakishoka na mwisho kuishiwa nguvu ya aina ya mchezo wanaotumia wa kasi na kushambulia timu nzima.
 
Watford wameanza kuonyesha kuchoka wanacheza sana uwanjani.

Ozil na Xhaka wanaanza kucheza kama timu.

Perreiraaaaaaa, nje!

Dakika yaenda ni 61

Arsenal 0 Watford 0
 
Back
Top Bottom