

@numbisa we ni wa kike? Basi nakupenda


@numbisa we ni wa kike? Basi nakupenda![]()
Emirates ni wadhamini wakuu. Uwanja ni mali yao lakini kuna sheria za makampuni ambazo watu hufungua kampuni nje ya kampuni ili kusimamia nakulinda mali zake zisiporwe kirahisi na serikali au umma.Hivi kumbe uwanja wa emirates sio wa arsenali Bali unamilikiwa na fly emirates
Naming rights. Na ukomo wa kuitwa hivyo ulikuwa msimu wa 2016/2017 ila jamaa wa Emirates kwa ajili ya kutangaza biashara waliongeza mkataba wa naming right baada ya uke wa awali kumalizika.Hivi kumbe uwanja wa emirates sio wa arsenali Bali unamilikiwa na fly emirates
Umejibu vizuri mkuu ila hapo mwishoni kwenye paragraph ya kwanza nadhan ulimaanisha "ule" na si "uke"Naming rights. Na ukomo wa kuitwa hivyo ulikuwa msimu wa 2016/2017 ila jamaa wa Emirates kwa ajili ya kutangaza biashara waliongeza mkataba wa naming right baada ya uke wa awali kumalizika.
Jina la uwanja hii sakata la pesa likiisha utaitwa ASHBARTON GROVE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi simu za kupangusa hizi daaa acha tu aibu sanaUmejibu vizuri mkuu ila hapo mwishoni kwenye paragraph ya kwanza nadhan ulimaanisha "ule" na si "uke"
Hahahaa unaweza kumtukana mama mkwe kwenye msg pasipo kutegemea.
Teh teh.Hahahaa unaweza kumtukana mama mkwe kwenye msg pasipo kutegemea.