Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mlio na ving'amuzi vya startimes mechi ya chelsea saa 19:55 na arsenal saa 22:000 zitaoneshwa kupitia chanel ya world football kwa hiyo hamna kuhangaika usiku.
 
255717772426_status_1f19338dfd99c7b459cdaeea6d30f772.jpg
 
Arsenal XI: S. Lichtsteiner, Nacho Monreal, Sokratis, Aubameyang, Mkhitaryan, D. Welbeck, B. Leno, M.Elneny, A. Iwobi, L. Torreira, Holding

Subs: M. Özil, Lacazette, E. Martínez, Bellerín, M. Guendouzi, Emile Smith-Rowe, Nketiah

Vorskla XI: B. Shust, Aleksandr Kobakhidze, Pavlo Rebenok, V. Chesnakov, V. Sharpar, Vladyslav Kulach, I. Perduta, Y. Kolomoets, Artur, D. Kravchenko, Ardin Dallku

Subs: O. Sklyar, O. Tkachenko, M. Sergiychuk, M. Mysyk, Nicolas Careca, T. Sakiv, A. Giorgadze
 
Kamati ya roho mbaya tumebaini arsenal leo wako vizur kupita maelezo dakika 45 za mwanzo sijaona mchezaj mzembe safi sana washika mitutu wa london tunaondoka hatutaambulia kitu hapa.
 
48 mints
Welbeck

Huo upande wa kushtot ndo umetumika kwa uzuri.

Tena safari hii ni Laex Iwobi ambae anampasia Henrikh Mkhitaryan na anamwona Wellbeck ambae akiwa katikati ya mabeki wawili wa Vorskla Poltava anaweka mpira kimiani.

Arsenal 2-0 up.
 
1537474640542.png

Jopo la makocha liliendela kuangalia ufanisi wa vijana.

Ohh Goal Arsenal 3-0 up

Ni Auba tena dakika ya 57.
 
Tukumbuke Pierre-Emerick Aubameyang na Henrikh Mkhitaryan ni wachezaji wa zamani wa timu ya Borrusia Dortmund ya Ujerumani.

Wanaonyesha ushrikiano mkubwa.
 
Back
Top Bottom