McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,388
- 7,551
No, kumbuka msimu uliopita tulishinda games ngapi ugenini. Mwanzo mzuri naona.
Kupata matokeo chanya ugenini ni faraja sana nakumbuka msimu uliopita ugenini tumepigika sana hata hawa Newcastle walitupiga hapo St. James' Park 2-1 tena tulianza sisi kufungua goli la Auba ila wakachomoa na kipigo tukakipata,naona Ozil leo kafurahi nimemsikia jinsi anavyoongea inaonyesha anakerwa na critics kutoka kwa watu ni kitu kizuri kama atakaza zaidi(mshahara alioubeba utamsumbua sana hasa waandishi wa UK)