Wakuu kiaje?
Moja kwa moja tunakwenda uwanja wa Newcastle United uitwao St James Park.
Team news:
Newcastle XI: Kipa Dubravka, Yedlin, Lascelles, Fernandez, Dummett, Ritchie, Hayden, Diame, Murphy, Perez, Joselu
Bench: Clark, Shelvey, Rondon, Muto, Kenedy, Manquillo, Darlow
Arsenal XI: Cech, Bellerin, Sokratis, Mustafi, Monreal, Ramsey, Guendouzi, Xhaka, Lacazette, Aubameyang, Ozil
Bench: Elneny, Mkhitaryan, Torreira, Lichtsteiner, Holding, Leno, Welbeck
Mwamuzi wa mchezo anaitwa Lee Probert kutoka wilaya ya Wiltshire.
Kwa kweli hatutakiwi kuacha pengo kubwa na leo tukishinda bado tutakuwa kwenye nafasi nzuri.
Newcastle wanashika nafasi ya 18 na bado hawajashinda game lolote.
Hivyo Arsenal watch out!