Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi hawa jamaa at some point at walikuwa 'tittle contenders'!?

No! Walikuwa PRETENDERS of title contenders. Na wataendelea na hiyo title yao ya PRETENDERS for the years to come, mpaka hao "watoto" wao wazeeke, maana kila mwaka tunaambiwa bado wadogo.:yuck::yuck:
 
Kuna yule jamaa anaitwa Shadow na wenzake majina yamenitoka waliamini utabiri wa Robo, sasa sijui wamepotelea wapi.
 
Wenger bana....bora aondoke tu...........Yeye akitaka kusajiri anaenda Ufaransa tu.....aaaaaaaaargh

Wenger 'confident' over Chamakh signing

By Richard Clarke

Arsène Wenger is confident that Arsenal will sign Marouane Chamakh soon.

The 26-year-old Bordeaux striker has been heavily linked with a move to Emirates Stadium for some time but the transfer has yet to be rubber-stamped. Speaking to Arsenal TV Online on Thursday, Wenger suggested it was just a matter of time.

"It is not officially done but we are confident on the boy," he said. "When all is clear we will come out and announce it."

Source: Arsenal.com
 
Arsenal mwaka huu wamechemsha mwishoni. Sababu siijui vizuri lakini nahisi ni experience ndogo ya wachezaji. Bora Wenger aunde timu vizuri msimu ujao ili ubingwa upatikane.
 
Wakuu tuangalia nini atakachofanya wenger kwenye usajili........
Kuna mchezaji wa Barca anaitwa Xavi jamani huyu mnamzungumziaje? Hivi kwanini watu wasingekuwa wanampa zawadi mchezaji anaetengeneza magori?
 
Goodluck to my fellow Gunners; this season I have observed the following;
  1. Our thread has been visited more compared to Man Utd, Blues, etc. by fellow supportes and rivals which made me realise it is true that "mti wenye matunda mazuri ndio hutupiwa mawe"
  2. Our team is above average; AW needs to just strengthen on Goalkeeper, Center back and Holding MF. Tushampata Chamakh so we are covered assuming Fabreags, RVP and Arshavin do not leave us.
  3. We have achieved more that what everyone expected, players am sure will use it as a booster for next season.
Goodluck to all of us in today's final game and hopefully AW will keep us busy in here as we expect him to go into the transfer market strongly.

Go Gooooner!

Radical.
 
Wakuu tuangalia nini atakachofanya wenger kwenye usajili........
Kuna mchezaji wa Barca anaitwa Xavi jamani huyu mnamzungumziaje? Hivi kwanini watu wasingekuwa wanampa zawadi mchezaji anaetengeneza magori?

...umri ushakwenda sana huyo, ana miaka 30 sasa, no wonder Pep Guardiola anajiamini Fabregas atarudi Camp Nou kuziba pengo litaloachwa wazi na hii mashine 'XAVI'...
 
Naona Spurs watachukua nafasi ya tatu! Hongereni sana

Mkuu Spurs wanaweza kuchukua nafasi hii ya tatu ukilinganisha na uwezo wetu wa sasa INGAWA mechi ya Fulham ya jumatano (final!) inaweza ikawafanya wachezaji wao wa-concentrate, na meneja wao abadili kikosi........let's wait

Ndoto zangu siziamini, eti leo Chelsea watatoka draw, MU watashinda.......
 
Arsenal team in full: Fabianski, Sagna, Campbell, Silvestre, Clichy, Eboue, Diaby, Nasri, Walcott, Arshavin, Van Persie
Substitutes: Mannone, Djourou, Gibbs, Merida, Eastmond, Lansbury, Vela
 
Arsenal team in full: Fabianski, Sagna, Campbell, Silvestre, Clichy, Eboue, Diaby, Nasri, Walcott, Arshavin, Van Persie
Substitutes: Mannone, Djourou, Gibbs, Merida, Eastmond, Lansbury, Vela

...mnh, acheni tu tukamilishe ratiba. Kuna watu wanasema iwapo kila namba ingekuwa na capable reserve leo hii tungekuwa tunazungumza habari nyingine, mimi nakataa..

Kuumia kwa Gibbs na Clichy lilikuwa pengo tosha kama ilivyokuwa kuumia kwa Song, Djourou, Gallas na Vermallen, pia Bendtner na Van Persie. Mapungufu kwenye timu ni zaidi ya pengo la Fabregas..

I hope msimu ujao tutarudi vingine...
 
Mkuu Spurs wanaweza kuchukua nafasi hii ya tatu ukilinganisha na uwezo wetu wa sasa INGAWA mechi ya Fulham ya jumatano (final!) inaweza ikawafanya wachezaji wao wa-concentrate, na meneja wao abadili kikosi........let's wait

Ndoto zangu siziamini, eti leo Chelsea watatoka draw, MU watashinda.......

Chelsea Bingwa..............
 
Arsenal team in full: Fabianski, Sagna, Campbell, Silvestre, Clichy, Eboue, Diaby, Nasri, Walcott, Arshavin, Van Persie
Substitutes: Mannone, Djourou, Gibbs, Merida, Eastmond, Lansbury, Vela

Dk ya 45 kipindi cha kwanza Arsenal 3 Fulham 0(Arshavin dk ya 21,V.Persie dk ya 26 na own goal from Baird dk ya 38)
 
Dk ya 45 kipindi cha kwanza Arsenal 3 Fulham 0(Arshavin dk ya 21,V.Persie dk ya 26 na own goal from Baird dk ya 38)

Tupo pamoja LAKINI sitaki kusikia jamaa wamerudisha? Ulipata salamu zangu kwenye thread ya real madrid?
 
Tupo pamoja LAKINI sitaki kusikia jamaa wamerudisha? Ulipata salamu zangu kwenye thread ya real madrid?

Nilizipata mkuu.......yaani ukisikia mwaka wa tabu ndo huu........Yanga,Arsenal,Juventus hakuna kitu...Ngoja tusikilizie matokeo ya mechi za mwisho kwa Barca na R.Madrid weekend ijayo..........Labda Madrid waweza nitoa tongotongo(Barca wakifungwa ama kutoka sare)......hahaaaaaaaa
 
.....Pheeeeewww, msimu ndio umemalizika ndio mpaka August tena.
Mwenyezi Mungu atupe Uhai, afya na amani tuliendeleze jukwaa letu hili ambalo linawanyima usingizi mahasimu wetu.
It's such pleasure kukutana kwenye jukwaa hili week in-&-out wakuu.

(In no particular order) BAK, Wacha, Balantanda, Kweli, Arsene Wenger, Baba Mkubwa et al... michango yenu ipo juu ya msitari, no wonder jamaa zetu wa mtaa wa pili (Chelski na Spurs) plus kina Manure na 'Rossoneri' hawaishi kuchungulia humu!

Haya,
msimu umeisha tumemaliza tukiwa na pointi (75) 3 zaidi ya msimu uliopita (72). Sio mbaya compared na Odds zilivyokuwa against us.
Kilichobakia sasa ni Transfer News, Rumours & News Signings, World Cup nk...

We'll be back...

"Together we stand!"
 
asante sana mkuu kwa michango yako pia na tutaendelea kuwepo humu na mwenzetu yoyote yule atakapata habari ya timu yetu hatuwekee humu wakati huu wa off season.nina huakika wengi tutakuwepo hewani. world cup itatusaidia kutufikisha august mapema zaidi.

nawatakiwa washabiki wote kila la kheri kwenye kazi zenu binafsi na afya bora pamoja na familia zenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom