Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,514
- 5,006
Hata kama tunahitaji mature players MAKELELE hawezi kuletwa Emirates, labda aende kwa Fagie!HAhahahahah umewauwa hawa, sintoshangaa Wenger anafanya negotiation na Makelele!
Hata kama tunahitaji mature players MAKELELE hawezi kuletwa Emirates, labda aende kwa Fagie!HAhahahahah umewauwa hawa, sintoshangaa Wenger anafanya negotiation na Makelele!
HAhahahahah umewauwa hawa, sintoshangaa Wenger anafanya negotiation na Makelele!
Charmakh atafaa(binafsi namuhitaji sana Emirates).......Mwaka huu naona itakuwa tofauti...AW keshakoromewa,hana ujanja itabidi asajili tu......Na nyie itabidi msajili mwaka huu sasa...Muachane na akina Scholes,G.Neville,Ferdinand et al.........Mwaka huu tutasajili vizuri mkuu....subiri uone

Wenger atasajili vizuri mwaka huu mkuu.....Subiri utaona
Kila msimu mnasajili tatizo usajili wenyewe wa kina Silvestre,Campbell,Chamack hawatawafaa .Kuna wachezaji wa Kingereza kama Robert Green,Scott Parker,Calton Cole,Mathew Upson,Gary Cahill hao wote
Off course tunahitaji one clasic attacking midfielder na striker wa ukweli, hao wazee hatuwafukuzi hadi wastaafu wenyewe
Mnatakiwa muwe na wachezaji wenye nguvu, huyo Chamakh nyoronyoro tu
fanyeni vyote ila msimuuze FABRIGAS......Yaya Toure hawezi kum-replace fab,YT ni another version ya DIABY just too slow for EPL,though YT got more experience on big games
Charmakh nimemuona babu.....Ni mmaliziaji mzuri sana pale G.Bordeaux.........na kafunga magoli mengi tu League one...Pia Berbatoff muuzeni...hawafai
Mheshimiwa tatizo ni kwamba wachezaji wengi wanaofanya vizuri France wakija England wanapata tabu ,mfano Diouf, Cisse alikuwa top scorer misimu 2 ni bora kutafuta hapo England wachezaji ambao wameshaizoea Premier League na ni bei rahisi, then nafikiri umesikia FA wanataka kuweka sheria mpya kila timu lazima iwe na wachezaji wa Kiingereza
Mheshimiwa tatizo ni kwamba wachezaji wengi wanaofanya vizuri France wakija England wanapata tabu
sylvestre na campbell walikuwa fill up baada ya majeruhi.sylvestre hakuwa na nafasi hata kidogo sema injury zilikuwa nyingi kuanzia clichy.giggs mpaka traore.mchango wa campbell mkubwa sana no regret.huyo chamakh mashine na kwa vile wewe unapenda uongo na kutenga ukweli ndio maana ukashindwa kumpa credit Wenger kwa kumsajili Varmelen.
season imeaisha mkuu toa maelezo kama mwana michezo majungu hayana haja.
kwenye list yako ukitoa robert green hao wengine wote vifaa na nawakubali na kuna wawili hapo wenger alionesha intrest kwao.
kaambiwa harekebishe beki kule nyuma.chamakh bonge la mchezaji mkuu tena ata fit direct.huyu dogo na van persie pale mbele ni mauaji tu.
mie nataka sana kipa aletwe mpya na beki pale tunahitaji pia.
issue ya fabregas tutaona inaendeleaje manake inasemekana walimlipa pound mil 3 hili asiondoke summer .
tatizo la yaya toure african cup of nations ikifika tunampoteza yeye na Song ngoma inaanza kuwa ngumu upyaa na Wenger anajua hilo.
kama Melo(juventus) yuko intrested ni powa sana pale kati.
Ndio maana sijamtaja Varmelein nimetaja Silvestre,Campbell unaseama nina majungu then list niliyotoa unaikubali kazi ipo?
Ningependa kuona Vitto Manone akipandishwa kuwa kipa namba moja
Wenger ana matatizo binafsi saa nyingine,huyu fabianski na almunia kuwaachia tu aje kipa mwingine (anamtolea macho joe hart) na mannone hawe namba mbili .
Na pia ningependa kuona tukiapata Kocha mwingine AW aondoke zake kule....hatufai kabisa
hilo mkuu litatokea timu ikiuzwa kwa sasa naona wana board wanampenda Wenger kwa vile anaendana na budget yao.
Charmakh nimemuona babu.....Ni mmaliziaji mzuri sana pale G.Bordeaux.........na kafunga magoli mengi tu League one...Pia Berbatoff muuzeni...hawafai