Pole sanaTumepoteza mechi ya kwanza dhidi ya Manchester city, tumecheza lakini bahati haikuwa yetu. Huu ni mwanzo, bado tuna mechi nyingi mbeleni hivyo tunayo nafasi ya kubadilika na kupata matokeo.
Let's be patient, we still have time.![]()
Tatizo mmecheza na team kubwa.Sijui tatizo nini aisee
Kwa mpira aliocheza arsenal na post uliyotoa utakuwa kipofu yule dogo kacheza mpira mkubwa sna kwa umri wake wa miaka 19 ujiangalie wengi kumbe si watu wa soka mmekalia unazi ujipange sana kwa arsenal usichukulie poaWewe pre season ulicheza vizuri sana ...uko nyumbani unashindwa kumfunga man city?
Uyo manywele wenu Mara kumi ata na fellain wa man u..
Kwa mpira wenu wa kizembe ivyo jumamosi nakupiga tatu kavu.
Nilikuwa na nyie leo ila mmezingua sana.
kweli nyani haruki mwembe wa uwani.
Yani hapo hapo kwenu. Lakin hamna shida ndoa za kiislamu huwa mke anaenda kuchukuliwa kwao
...arsenal hii ya emery unai itafanya vibaya zaid kuliko ile ya wenger.Kwa mpira aliocheza arsenal na post uliyotoa utakuwa kipofu yule dogo kacheza mpira mkubwa sna kwa umri wake wa miaka 19 ujiangalie wengi kumbe si watu wa soka mmekalia unazi ujipange sana kwa arsenal usichukulie poa
🤣🤣🤣🤣 daaa nikisoma hiyo comment halafu nikiangalia username nazidi kucheka daaadekiMwaka huu mtamkumbuka tu le professeri


Hii timu ni nzuri huwezi kulalamika wakati hata combination ni ya muda mfupi sana.Nina imani next week tutasajili ushindi. Ila wachezaji waongeze umakini hasa foward. Abu na Lacazate wamekosa magoli sana.LEO MSALABA WA JUMUIA ULIKUWA HAPA. TUENDELEE KUSUBIRI WKEND ZIJAZO