Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Uzuri ni kwamba Chelsea haitegemei foward ili kupata ushindi. Sio nyie akiumia Mo salah basi timu nzima inanywea (refer final uefa) sisi kila mchezaji ni mfungaji mkuu. Asipokufunga Willian atakufunga Hazard. Sasa iv hadi Kante Ngolo anatupia tu kwa iyo mkuu wee September jiandae kisaikolojia.
Usije ukadhani tunategemea mchezaji mmoja kama nyie.
Uzuri hadi beki za Chelsea zinafunga ..Alonso, Rugider, Azp ..
Hamutegemei Striker wakati Kila Siku Munalialia na Morata pamona na Giroud hapa?