Arsenal hawajatulia .kitete cha mechi ya kwanza kwa kocha mpya ndicho kinawapa shid. Beki ya Man city ipipo open ni Arsenal wenyewe hawaonani mwishoni .
Duh. Mpira wa vijiti au visoda angefunga kama unavyosemalacazete ni mzigo
amekosa goli la kulenga tuu golini
hata wa gololiDuh. Mpira wa vijiti au visoda angefunga kama unavyosema
Bora huyo uchwara anafurahia kuliko mashabiki boko haram hawasikii pamoja na mahangaiko ya kujificha.Hahaha niko na mshabiki uchwara wa man city hapa pembeni hajui hata aguero anatokea taifa gani. alafu anasema anaipenda man city tangu zamani
[emoji23][emoji23][emoji23]naona wamekimbia uzi waoArsenal ni ile ile kama CCM
HahahaBora huyo uchwara anafurahia kuliko mashabiki boko haram hawasikii pamoja na mahangaiko ya kujificha.
[emoji23][emoji23][emoji23]naona wamekimbia uzi wao
Hii timu ni kigenge cha wapagazi tu.