Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manywele anayejua mpira ni mmoja tu THE BIG FELLA... huyu manywele wenu labda yule Dj[emoji28][emoji28]
 
leo sterling anajipunguzia mabeki wa majirani kama messi poleni sana majirani
 
Game bado mbichi hii. Manchester City wetu hawa wink wink .. Goli litarudi. Come on Gunners !!
 
Arsenal hawajatulia .kitete cha mechi ya kwanza kwa kocha mpya ndicho kinawapa shid. Beki ya Man city ipipo open ni Arsenal wenyewe hawaonani mwishoni .
 
Mechi ijayo na chelsea. Yajayo yanafurahisha.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
HT
Arsenal 0-1 City
So far City amecheza vizuri dakika 45 za kipindi cha kwanza,Unai ana kazi ya kufanya kama tuna nia ya kupindua meza.
 
Xhaka na ramsey watumishi hewa, ila huyu dogo mwenye minywele anakichafua vibaya sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom