Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unajua kuna kitu kilikuwa kinasumbua wavhezaji wengi wa arsenal..wachezaji wengi walikuwa hawana mazoezi ya nguvu hata kama sometime kocha akipatia tactics lakn wachezaji hawana mazoezi ya kusukumana na wenzake uwanjani kitu ambacho Unai amegundua kama umemskia juzi bellerin kasema tunafanya kweli mazoezi ya gym kuliko kawaida kitu ambacho kitaonyesha tofauti kubwa msimu ujao...
 
Mkiona rumours zozote pembeni kuhusu kiungo kwa Arsenal asaivi hata msisome ni kelele tupu tu Arsenal inahangaikia ishu ya Dembele tu saivi na kama ikitokea kuna beki mzuri mzoefu wa kati kwenye siku za mwisho za usajili then tunaweza kwapua..hayo tu.
Kitu ambacho tumewambia Barca ni tunamtaka kwa mkopo afu ndani ya kipindi hicho cha mkopo tutalipa pesa yao wanayohitaji nusunusu..
Sio kwamba tuko tayari kulipa yote £105 ambayo walisajilia
 
Mkiona rumours zozote pembeni kuhusu kiungo kwa Arsenal asaivi hata msisome ni kelele tupu tu Arsenal inahangaikia ishu ya Dembele tu saivi na kama ikitokea kuna beki mzuri mzoefu wa kati kwenye siku za mwisho za usajili then tunaweza kwapua..hayo tu.
Kitu ambacho tumewambia Barca ni tunamtaka kwa mkopo afu ndani ya kipindi hicho cha mkopo tutalipa pesa yao wanayohitaji nusunusu..
Sio kwamba tuko tayari kulipa yote £105 ambayo walisajilia
Sijauona ubora wa Dembele ukizingatia valuation yake. He didn't even play for his country! hiyo thamani ni ya mtu kama Mbape ambaye najua hatuna uwezo wa kumpata kwa sasa.Walishindwa kumchukua Mahrez ambaye ilikuwa appropriate acquistion
 
Sijauona ubora wa Dembele ukizingatia valuation yake. He didn't even play for his country! hiyo thamani ni ya mtu kama Mbape ambaye najua hatuna uwezo wa kumpata kwa sasa.Walishindwa kumchukua Mahrez ambaye ilikuwa appropriate acquistion
Anakuja for loan, swala la kumnunua jumla ni la baadae tena kidogokidogo
 
sometimes Arsenal are not seious, wanashindwa kuwaona na kuwanunua wachezaji wa muhimu wanakimbilia wachezaji wa bure ambao wamemaliza mikataba yao. Nilisikitika kumkosa Mahrez
 
sometimes Arsenal are not seious, wanashindwa kuwaona na kuwanunua wachezaji wa muhimu wanakimbilia wachezaji wa bure ambao wamemaliza mikataba yao. Nilisikitika kumkosa Mahrez
Ww ulitakaje? Una ozil, micky, ramsey, unamtaka mahrez wa nn kwa bei ya £60m??

Kocha ndio anajua anamtaka nani na kwa manufaa gani,
 
Jana jion wahuni wote walirejea London wakitokea Singapore ambapo wamecheza game mbili dhidi ya PSG ambayo wameshinda 5-1 na dhidi ya ATM ambapo walipoteza kwa matuta baada ya kutoka sare ya 1-1

......kutokana na uchovu wa safari kutoka Singapore kule Asia ,Leo mazoezi ya asubuhi hayapo yatakuwepo mazoezi ya jioni tu. Mipicha picha itatumwa panapo majaaliwaaaaa.


Sanjali na ilo tayar Jana iyoiyo wameripot kambin akina *xhaka,Stephen, toreira,ospina* kwaiyo nao Leo jion watakuwa mazoezin pale colonely na timu nzima .
 
Welcome to Arsenal, Unai – This is what you can expect….
Welcome to our Gooner home. (and the Arsenal RESOLVE) by Charles Veritie

Dear Unai.

Welcome to Arsenal. Just as you are happy to be ‘the Chosen One’ by Mr Gazidis to lead us into ‘Football’s Winnerland” So are millions of Arsenal fans believing and hoping you will do just that.

It’s no secret that you have spent your time since you arrived getting to know the players as well as the backroom staff already at the club. You have also started meeting some of the fans. The lucky few who were able to be at the meeting held at the stadium and since then at the public friendlies that have been played.

In England the Arsenal fans come in basically five groups.

1 Long Timers (The oldies’) who in the eyes of many don’t know any thing about football and Arsenal. Some of the Long Timers waited 18 years before winning a trophy and when the club did win a trophy, the media and all but Arsenal said it wasn’t ‘a proper trophy’. It was the then equivalent of the trophy you won three times at Seville. The next season we did the ‘Double’

2 Then there are what might be called the ‘middle timers’. Their start time is around the Berti Mee days and the Terry Neill days. In the Neill days we won a trophy and came close three times but that trophy and ‘coming close’ doesn’t count by those I have referred to above.

3 Our hopes were set on fire with 2 trophies that count plus 4 that don’t count with the proud cry of ‘One nil to the Arsenal’ and ‘What we have we keep.’ Led by George Graham.

Those days brought in more fans

4 Then there are the fans who until you arrived only knew one manager who set in place your new football home

5 Least and loudest are the ‘fickle fans’ these are the most important fans off all (In their eyes, that is.) Their opinion is always ‘We are right’ and everyone else is not only ‘wrong’ but ignorant and stupid.’

Supporting these fickle fans is the English media.

Supporting the media in their campaign against you and Arsenal is the PGML a closed shop organisation led by a Mr Mike Riley. To learn the truth about Mr Mike Riley go to You Tube and watch ‘Man Utd vs Arsenal game 50’. The referee of that game is the same Mr Mike Riley now of the PGML. (You might recognise a former Arsenal player.)

Arsene Wenger could not beat Mr Riley.. Seemingly, Mr Gazidis cannot beat him.

We all hope you will beat Man City aka ‘mancs’ and Chelsea aka ‘chelski’ but what if you don’t ?

As you know England managers in the past have come and gone like dodgem cars in a fair ground. One of these managers told of how when he started the job of England manager he was given 3 envelopes by the manager whose place he took. The 3 envelopes were sealed and marked 1, 2, 3. The instructions were:

‘When you lose your first game open envelope 1.

When you lose your second game, open envelope 2.

When you lose your 3rd game open envelope 3.

We now know the instruction in each envelope could easily have been written by an Arsenal ‘fickle fan’.

Fickle fans stay underground when we win and sprout up like weeds when we lose.

The contents of those three envelopes given to the England manager could easily be given to you from the fickle fans and the instructions to you the same as they were for the new England manager.

When you lose your 1st game and open envelope 1, you read ‘Blame me’ meaning the former manager, In your case Arsene.

When you lose your 2nd game open envelope 2 and you’ll read ‘blame the system, meaning your employers.

When you lose your 3rd game. Write 3 envelopes.

That is a good summary of the mindset of the Arsenal fickle fan.

We non fickle fans understand the enormous task ahead of you, win or lose you have our support. We are here for the long term, you were a winner for others and we believe you can be a winner for our great club.

Ignore the English media (as in Spain) ‘they only shout exaggerated bad news”. The media, like our fickle fans, never ever admit they were !
 
Last edited:
HADI SASA EMERY AMESHAIPATA ARSENAL YA MSIMU UJAO


LONDON, England
WIKIENDI iliyopita, timu ya Arsenal ilimaliza ziara yao ya mechi za kirafiki nchini Singapore kwa ushindi mnono wa mabao 5-1 dhidi ya PSG.
Arsenal iliibuka na ushindi huo mnono katika mchezo huo wa michuano ya ICC, siku chache baada ya kucheza mechi ya kwanza ya michuano hiyo dhidi ya Atletico Madrid na kupoteza kwa penalti 3-1.
Katika mechi hizo za kirafiki, Arsenal imetumia asilimia kubwa ya wachezaji wa kikosi chao cha kwanza ambao wameonekana kuzoea haraka mfumo wa kocha wao, Unai Emery.
Aina ya mfumo huo wa Emery umedhihirisha kwamba Arsenal itacheza soka kama ambalo PSG walikuwa wakicheza chini yake misimu kadhaa iliyopita.
Mhispania huyo anapendelea kutumia mfumo wa 4-2-3-1 hasa alipokuwa akifundisha klabu za Hispania na 4-3-3 alipokuwa PSG.
Alipohojiwa kwa mara ya kwanza baada ya kutua Arsenal, Emery alisema kwamba falsafa anayotegemea kuipandikiza katika timu hiyo ni kucheza soka la kukaba na kushambulia kwa kasi, kama inavyoonekana katika timu nyingi kwa sasa.
“Huwa napenda niwe na manufaa katika timu ambayo wachezaji na mashabiki wake wanataka kuona mafanikio,” alisema Emery.
“Wazo langu ni kutaka kuwa shujaa hapa, nimependa kuona kwamba historia ya Arsenal ni kucheza kwa kumiliki mpira.
“Napenda aina hiyo ya soka na kama hatuna mpira nataka timu nzima ikabe sana kuurudisha katika himaya yetu. Kuna vitu viwili muhimu sana, kwanza ni kumiliki mpira na kukaba pale unapoupoteza,” alisema Emery.
Hivi karibuni jijini London, katika mazoezi ya timu hiyo kuelekea msimu ujao, Emery alionekana akiwa ameshikilia nyaraka muhimu za mifumo yake na karatasi iliyokuwa juu ilionyesha aina fulani ya mfumo ambao huenda akautumia msimu ujao.
Akiwa PSG, zaidi ya kuwa alipenda kutumia mfumo wa 4-3-3, mara kadhaa pia alitumia mfumo wa 4-1-4-1 ambao uliiwezesha timu yake kuwa na watu wengi katika mashambulizi.
Lakini pia mfumo huo ulimsaidia kuwa na watu wengi kwenye safu ya kiungo pindi walipokuwa wakikaba.
Hata hivyo, haionekani kama Arsenal wataiga mfumo huo msimu ujao, lakini kuna uwezekano wakacheza katika aina ya mfumo huo; 4-1-2-2-1 au labda mfumo maarufu wa 4-3-3.
Kwenye safu ya ulinzi, Hector Bellerin na Nacho Monreal watacheza pembeni wakiwasaidia Sokratis Papastathopoulos na Shkodran Mustafi mbele ya kipa Bernd Leno.
Kiungo mkabaji aliyesajiliwa katika majira haya ya kiangazi kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 22, Lucas Torreira, atakuwa akivuruga mipango ya wapinzani (kama ilivyo mfumo wa 4-1-4-1).
Mbele ya Torreira, tayari Emery ana idadi nzuri ya wachezaji atakaowatumia hapo, Aaron Ramsey na Granit Xhaka kwa Mesut Ozil, Henrikh Mkhitaryan na hata Emile Smith Rowe pia.
Safu ya ushambuliaji ya Arsenal ambayo lazima itakuwa na watu watatu aidha Ozil au Mkhitaryan upande wa kulia, Pierre-Emerick Aubameyang kushoto na Alexandre Lacazette katikati.
Alipoulizwa kwanini alipenda kutumia mfumo huo akiwa PSG, Emery alisema: “Kwangu mfumo wa 4-1-4-1 una nguvu zaidi katika falsafa ya kukaba na kushambulia kwa kasi.
“4-4-2 mara nyingi ni kwa ajili ya kukaba nafasi, hauna matumizi makubwa ya nguvu lakini ni mgumu sana kupitika. Kama umezitazama timu za Marcelino (ikiwemo Valencia), Quique Sanchez Flores au Saint-Etienne tuliyocheza nayo msimu uliopita (Ligue 1), utanielewa vizuri.
“Sitaki kusema hatutatumia mfumo wa 4-4-2. Siupendelei sana mfumo huo lakini kama utaiongezea nguvu timu yangu, basi nitautumia bila kusita.
“Niliwahi kuutumia mara kadhaa nikiwa Sevilla. Ningemchezesha Ever Banega kama kiungo mchezeshaji na ningemsogeza juu acheze kama straika namba mbili bila mpira.”
 
Naona sahivi tunaanza kucheza attacking football sideways na backward pass zimepungua ila kuna madogo wanne wanafanya vizuri Niles,Geondozi,nketiah na Smith hasa Smith mzuri sana anacheza ka debruine anazo quality za kuwa star yuko so matured
Smith yupo vizuri sana, niles yupo vizuri ila na uzoefu pia unambeba
 
Smith yupo vizuri sana, niles yupo vizuri ila na uzoefu pia unambeba
Niles ana act matured sana pia ana discipline sana kitu ambacho kwa wachezaji wa kiingereza ni nadra kuwa nacho asipumbazwe tu na sifa za media kitu ambacho kina waharibu wachezaji kiingereza wanaanza vizuri wakisifiwa wanaridhika wanapoteana na hili limewaghalimu sana tofauti na wafaransa wajerumani hata waspanish wanafanikiwa Ku reach the expectation
 
IMG_7905.JPG

Dakika ya 5
Arsenal 0-1 Chelsea
 
Ingawaje hizi sio mechi za kukupa full picture ya jinsi timu itakavyokuwa nimefurahishwa na staili ya Arsenal ilivyocheza na japokuwa nimeangalia dk 5 za mwishoni. Sikuangalia penalties. Tusubiri next week tuone.
 
Ingawaje hizi sio mechi za kukupa full picture ya jinsi timu itakavyokuwa nimefurahishwa na staili ya Arsenal ilivyocheza na japokuwa nimeangalia dk 5 za mwishoni. Sikuangalia penalties. Tusubiri next week tuone.
Kweli chelsea mboga kwa arsenal.Kikosi havikuwa sawa but well done.
 
Back
Top Bottom