Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Watu mna chuki cech kakosea nn leo?makosa ya Cech yanaendelea kutugharimu! Leno deserve to start
Tena leo ndio kawa MOT
kapewa yeye
Hebu toen poor IDEOLOGY
Watu mna chuki cech kakosea nn leo?makosa ya Cech yanaendelea kutugharimu! Leno deserve to start
Tena mi naona wakiwepo wawili ndo safi Ospina auzwe.Watu mna chuki cech kakosea nn leo?
Tena leo ndio kawa MOT
kapewa yeye
Hebu toen poor IDEOLOGY
Upo kama mm hata hivyo ospina anasepa,Tena mi naona wakiwepo wawili ndo safi Ospina auzwe.
Hilo tatizo ni la bek za kati,czech kacheza vizuri leo ila marking ya defence kwenye set pieces ni hovyoooo kabisaaaaa
yule dogo wa chelsea kamuabisha belerin leo,naona lichenestein atachukua hiyo namba mbili bellerin keshakuwa model sasa ubishoo tu wa nywele.Hilo tatizo ni la bek za kati,
Sasa mtu anakuja anakwambia cech mbovu
Hajui kutoa kross belle, dahyule dogo wa chelsea kamuabisha belerin leo,naona lichenestein atachukua hiyo namba mbili bellerin keshakuwa model sasa ubishoo tu wa nywele.
Yule naye atawapa watu tabu sana.Ila Guendouz leo kawaabisha kina Gorginho pale kati,
*Arsenal vs Chelsea*

Matteo ni 


, naiman lazma moto uwake paleAisee...Chelsea mpaka sasa hivi hawaamini wanajiuliza Sergio bosquets kaanza lini kufuga manyweleMatteo ni
![]()
Halipo, tunaongeza vit 500 emiratesHivi mwaka huu hamna EMIRATES CUP?