Wanatanua uwanja kipindi hiki kuongeza mapato hivyo imesababisha kusiwepo kwa muda wa kombe la wenger.Viti vinaogezwa kivip mkuu, hembu naomba maelezo ya kina plz,
ahsante
Siti 780.Halipo, tunaongeza vit 500 emirates
U know what man
Anaitwa matteo GUENDOUZ ,kiboko ya JORGINHO
Teh.. Nilikuambia kule kwenye page yetu. Hukuangalia mpira ulisimuliwa. Dogo yuko vizuri ila siyo kama unavyosema.Anaitwa matteo GUENDOUZ ,kiboko ya JORGINHO View attachment 826019
Ww ndio hukuangaliaTeh.. Nilikuambia kule kwenye page yetu. Hukuangalia mpira ulisimuliwa. Dogo yuko vizuri ila siyo kama unavyosema.
Hizi statistics si unagoogle tu. Ninachotaka mimi ni proof ya kama uliangalia mpira au vipiWw ndio hukuangalia
Leta statistics hapa za huyo dogo na Jorginho kwenye hiyo mech
Ukileta nitaamin ww uliangalia mpiraView attachment 826022
Mbona unaleta porojoHizi statistics si unagoogle tu. Ninachotaka mimi ni proof ya kama uliangalia mpira au vipi
Story tu huyoWatalamu Ndebele vipi anakuja?