Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji599] *nacho monreal,granit xhaka na Stephan lichtsteiner na David ospina ,Lucas toreira*.....hawa watakuja mazoezin kwanzia tarehe 30/7/2018 na 1/08/2018
Wanakuja London moja kwa moja hawa .
Leo kuna game SAA 8:30 mchana na PSG
Kuwa tayar kushuhudia mtanange huo.
Kwenye modbro itaonekana,
Startimes inaonekana ukilipia 600,
Arsenal.com inaonekana pia
Na application ya arsenal official itaonyesha live.
Wanakuja London moja kwa moja hawa .
Leo kuna game SAA 8:30 mchana na PSG
Kuwa tayar kushuhudia mtanange huo.
Kwenye modbro itaonekana,
Startimes inaonekana ukilipia 600,
Arsenal.com inaonekana pia
Na application ya arsenal official itaonyesha live.