Mkuu Masanilo...ni kweli umewataja lakini neno "almost" na pale ulipoishia etc etc etc inaonesha si hao tu bali na wengineo ambao ni wengi mno.......
Nadhani tunaendelea vyema tu, tukithamini sana michango yako maana inatufanya kujifunza na kufurahia, tukiamini wewe ni kati ya watu waliopo juu katika hii fani ya michezo, i mean ni kati ya watu ambao, binafsi, nawaheshimu katika michango yao ya kimichezo maana hunifanya kujifunza na kufurahia------
Nimekusoma kiongozi! Leo vipi Barca na Inter?
Sare ama Barca anachapwa...Inter wanaenda fainali
Pamoja hapo! Ila Mourhino is a character ....leo amemchukua Figo na atakuwa naye kwenye bench......Final hiyooooo....ila na Bayen itakuwa final nzuri sana. Mwaka jana was one sided man utd na Barca
Wana gunner wote napita kuwasalimia, nimetingwa sana na masuala binafsi ila tupo pamoja.
Wenger - We'll sign a player before June 11
By Richard Clarke
Arsène Wenger has confirmed that Arsenal will sign a new player by the time the World Cup starts.
With just two games to go in the Premier League season, transfer rumours are already filling the back pages. As you would expect the Frenchman refused to name any targets but he did reveal he would "certainly" bring in a new face before the tournament begins in South Africa on June 11.
"We have a basic squad and I believe in the squad I have," he said. "But if I can make an addition – two or three maximum – then we will do it.
"I will try to do what I want to do as quickly as possible but I am not the only decider. It doesn't only depend on me.
"Ideally, you would want to do the job before the World Cup. It is difficult to give yourself the right timing.
"Certainly, we will announce one player before the World Cup. After that we will see."
Source: Arsenal.com
Naona wana Arsenal mmeamua kulisusa na jukwaa kabisa........hahaaaaaaaaaaaa.acheni hizo bana...Njooni tuendeleze libeneke hapa....Mbu,Baba Mkubwa,Ng'wanza Madaso,Arsene Wenger,Kweli,Radical,Mpiga Filimbi,Wacha,Wacha 1,BAK,Shadow na wengine mu wapi???????,rudini kundini bana......
Haya na nyie "Mtibwa Sugar"....oooppps Arsenal........ mwasemaje
Haya na nyie "Mtibwa Sugar"....oooppps Arsenal........ mwasemaje
What a goal by RVP..... Blackburn 0 Arsenal 1