Nikweli usemacho mkuu
King Ngwaba, ila kwa sasa Arsenal imramua kuachana na huo utaratibu wa kumuachia kocha full control, kama ilivyokuwa kwa wenger, Alikuwa yeye ndio anawauza na ananunua na kuwakumbatia wachezaji Magarasa na wanaotakiwa kutolewa kwa mkopo, Bodi ya sasa haitaki kurudi Huko tena,
Hizi policy mbili zote zina hasara na faida, lakin kwa arsenal sidhan kama Watakuwa wanauza ovyo kila key player, Maana kwasasa Bodi ina watu wa mpira, Na huu utaratibu Aliou suggest ni CE wa arsenal IVAN GAZID, akiutoa hasa Baryen maana yeye ni Mshabiki wa baryen Munich,
Unai Emry ni kocha anayefanya kazi kwenye mazingira ya AINA ZOTE MBILI YA HIZI POLICY , akiwa Sevilla alikuwa hana full control ya Transfer pia, majukumu yote ya Usajiri yalikuwa CHINI ya Monchi, na Alifanya vizuri.
The same Akiwa psg,
Hii policy Sasa imekuwa kama ya kisasa, mapungufu yake Iwakute Watu wasio wa Mpira,
Hii policy hata Barcelona, baryen, chelsea wanaitumia,
Kocha akiharibu pia anakuwa responsible kwa Bodi,
MAPUNGUFU YAKE NI KAMA HAYO TULIYOYAONA KWA CHELSEA, conte watu aliowahitaji hakupewa, na key player kama Matic akauzwa bila yy kujulishwa,