Arsenal (The Gunners) | Special Thread

32918584_10156649705073598_1613223762583355392_n.jpg
Mtu na kocha wake
 
BREAKING NEWS!

Arsenal wanazungumza na Unai Emery kocha wa zamani wa PSG na Sevilla.

Unai Emery

Unai Emery ana umri wa miaka 46 na ikiwa bodi ya Arsenal itafikia makubaliano na Emery basi Mikael Arteta atakuwa kocha msaidizi.

Emery alipokuwa Sevilla timu hiyo ilitwaa makombe ya Ligi ya Europa mara tatu kati ya mwaka 2014-2016.

Akiwa PSG ameiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ufaransa msimu huu wa 2017/18 pamoja na vikombe viwili ya chama cha soka nchini humo.

Lakini badi Mikael Arteta ni meneja mtarajiwa ingawa Arsenal bado wanawazia kupata mtu ambae ana uzoefu wa kutosha kutokana na ukubwa, umaarufu na uwezo wa Timu hiyo kifedha
 
ARTETA KACHOMOA DILI, ALIKUWA ANATAKA AWE NA CONTROL KWENYE USAJIRI,

KWA SASA DILI LIMEHAMIA KWA UNAI EMERY, LIKITIKI ATAKULA MIAKA 5

Retweeted David Ornstein (@aIiIadiere):

Arsenal are in serious talks with ex Sevilla and PSG manager Unai Emery. Lack of control over transfers led to Mikel Arteta rejecting the proposal from Arsenal. Ivan Gazidis has been locked in talks today with the Spanish managers reps over a 5 year deal [HASHTAG]#BBC[/HASHTAG] [HASHTAG]#Arsenal[/HASHTAG]
 
BREAKING NEWS: KOCHA MPYA ARSENAL NI UNAI EMRY

TAYARI David ornstein KASHAMALIZA MCHEZO, huyu ni mwanahabari wa Arsenal ndan ya BBC

Akiongea ndio mwisho wa mchezo

BREAKING: Arsenal to appoint Unai Emery as new manager. Thorough process produced 46yo Spaniard as unanimous choice. Available after leaving [HASHTAG]#PSG[/HASHTAG] (1 Lg1 title, 4 cups), previously Sevilla (3 EL wins), not fluent English. Announcement + press conference likely later this week [HASHTAG]#AFC[/HASHTAG]
 
Alhamdullilah hatimae Mungu anaenda kujibu maombi yetu hakika likitimia atakua ametuongezea afya waja wake...
 
Honours

Manager

Club

Sevilla
UEFA Europa League: 2013–14,[51] 2014–15,[24] 2015–16[52]

Copa del Rey: Runner-up 2015–16

Paris Saint-Germain

Ligue 1: 2017–18

Coupe de France: 2016–17, 2017–18

Coupe de la Ligue: 2016–17, 2017–18

Trophée des Champions: 2016, 2017

Individual

Miguel Muñoz Trophy (Segunda División): 2005–06, 2006–07[55]

La Liga Manager of the Month: March 2014,[56] January 2015[57]
European Coach of the Season: 2013–14
UNFP Manager of the Year: 2017–18

Unai sio wa kubezwa wazeee
Psg wanataka kutamba UCL huko ligue 1 hawana mpinzani...
Lete unai hapo
 
Uteuzi wa Kocha wa zamani wa Paris St-Germain Unai Emery umewashangaza wengi baada ya kuteuliwa katika dakika za mwisho kuwa meneja mpya wa Arsenal. (Mail)

Mhispania Santi Cazorla ,33, amepewa nafasi ya kujiunga na klabu yake ya zamani ya Villarreal huku mkataba wake na Arsenal ukitarajiwa kukamilika. (Evening Standard)

Kiungo wa kati wa Arsenal Jack Wilshere, 26 yuko tayari kutia saini mkataba wa miaka mitatu aliyopewa na Arsenal , licha ya kupata mapendekezo bora kutoka Everton na Wolves. (Mirror)
 
Mikel Arteta is not going to be the manager. Arsenal will shock the football world by picking up somebody who is not being talked about by the media.
Inaelekea niliotea. Jumamosi nilisema hivi(hapo juu). Arteta angepewa (akipewa) kibarua itakuwa ni sawa na kujifunga kamba mguuni halafu ukaning'iniza ghorofani afu motto mchanga anashikiria ncha ya pili.
 
|Unai Emmery....
Ni swala la muda tu sasa bodi itamtangaza Unai Emery kama kocha mpya wa Arsenal..
1.Unai amcechukua vikombe 3 vya Europa League mfululizo..huku akiipiga Liverpool ya Jurgen Klopp kwenye fainali,2016.
2.Ni kocha ambaye anahitaji wachezaji wajitoe sana kwa timu..hana utani kwenye hilo-Tukumbuke haikuwa rahisi kuchukua vikombe akiwa na Sevilla timu ambayo ilikuwa na bajeti ndogo mno.
3.Yeye anasemwa kuwa ni kocha zaidi na sii meneja zaidi.Nadhani hiki ndicho kilichoivutia bodi ya Arsenal kumchukua yeye kwa sababu akiwa Sevilla alishafanya kazi kwenye nfumo kama wa Arsenal ambapo sasa-mkuu wa usajili wa wachezaji ni Sven Mislitant-while kule Sevilla alikuwa chini ya Monchi-na alifanikiwa!
4.Msimu wake wa kwanza PSG alishindwa kutwaa ubingwa-baada ya Monaco kuchukua.Baadhi ya wakosoaji wake wanadai huo ni udhaifu.Ila wanasahau kwamba timu ile ya Monaco iliitoa hata Man city ya Guardiola ktk hatua za mtoano UEFA champions League.
5.Anaongea kingereza kidogo tu-lakini alipokuwa Ufaransa ilimchukua muda mfupi sana kuongea kifaransa-hili linaonyesha kwamba ni mtu wa kujifunza lugha ngeni kwa haraka.
6.Ni rafiki mkubwa wa Pep...ni kati ya makocha wachache wanaoalikwa na Pep kwa glass ya mvinyo baada ya mechi...
 
Ndio CV yake hii
 
Back
Top Bottom