sahihi mkuu vilevile player wakubwa wengi hawawapendi hawa makocha wadogowadogo dizain za kina arteta,wanataka kocha ambaye akiwatuma kufanya jambo wanatoa mwitiko halisi,mfano mzuri mesut yeye anasema ameongeza mkataba sababu ya wenger na amesikitika mno kuondoka kwake lakini anategemea atakayekuja ni kocha mkubwa dizan za kina wenger ili kuwe na discpline .........hawa makocha wadogo hawana mvuto kwa wachezaji wakubwaSikubaliani na wewe mkuu. Kwa kipindi hiki Arsenal inahitaji kocha mzoefu atakayeirudisha (a) katika top 4 (b)kugombania ubingwa sio mambo ya kujaribu jaribu. Kocha mzoefu kama Ancelotti ataweza kushawishi wachezaji wazuri kuhamia Arsenal na wengine kubaki Arsenal. Ukileta kocha sijui bwana mdogo atakuwa na wakati mgumu kumanage na kucontrol egos in the dressing room. Kumbuka ktk soka au michezo mingine hakuna plan ya kuwa na kocha for a long term. Makocha wote waliokaa ktk timu for a long time walikaa kwa sababu ya mambo mazuri waliyoyafanya sio ilikuwa plan from the beginning. Mfano Sir Alex inasemekana ilikuwa kidogo atimuliwe then akawin kombe la kwanza, wakampa trust. Isingekuwa hivyo angeshatimuliwa. Kifupi ni kuwa kukaa kwa kocha kwa muda mrefu ktk timu ina involve trust aliyopewa na board na mafanikio yake wakati akiwa kitini.
Tuchel & Jardim wanaweza kuifikisha Arsenal top 4 ,Ancelotti hana njaa ameshinda almost kila kitu na ameshafundisha ligi kubwa zote (Italy,England,France,Spain & Germany) ni pia rekodi yake sio nzuri kwenye domestic league.
Ancelotti ni kocha wa budget kubwa kitu ambacho Arsenal hawawezi kumpa hela but Allegri,Jardim na Tuchel sio makocha wanao hitaji budget kubwa
Ancelotti ni kocha mzuri sana kwenye mashindano ya mtoano (UCL) kwenye ligi sio kocha mzuri sana rekodi yake iko wazi na nimekwambia Carlo ni kocha anayehitaji bajeti kubwa angalia wachezaji aliowanunua timu alizopitia tunafahamu Arsenal inavyoendeshwa hawataweza kumpa hela atakayoitakakwahili haupo sahihi mkuu ukisema kuwa ANCELOTTI ameshiba mafanikio dah hiyo ndio nakusikia wewe ,unasemaje maneno kama hayo katika dunia hii ya marekodi kila mtu anataka kuweka rekodi kubwa isiyofikiwa na wengine ili awepo katika vtabu vya kumbukumbu ya vizazi kwa vizazi............na ukisema mzee hayupo vizuri katika domestic league unamaanisha yupo vizuri katika international league eg. UCL e.t.c na sisi ndio njaa yetu hiyo so bado naona point zako hazijawa na mashiko........kikubwa tuangalie nani atakuwa selected
Licha ya kufundisha miaka 8 AC Milan unafahamu kuwa Carlo amecheza fainali 3 za UCL lakini alichukua Serie A mara moja licha ya kuwa na kikosi hatari while wapinzani wa Milan walikuwa hoi,Misimu 2 Real Madrid alikuchukua UCL lakini kwenye ligi akachemsha,Kama timu inataka kuchukua UCL Carlo ni specialist hata kina Pep hawamwezi lakini domestic league inamsumbua,Mkuu huyu mdingi kabeba makombe karibia kila nchi aliyofundisha. Iwe ligi, au cups pamoja na European club competitions. Kitu ambacho hajafanya ni kukochi timu za taifa. Sijui una maana gani kusema hana rekodi nzuri katika ligi za hizo nchi ulizozitaja. Timu zake alizokwisha kochi zilikuwa zinacheza attacking football sio too much defensive football kama ya Mourinho. Nachokukubalia ni kuwa timu zake nyingi alizokochi zilikuwa na mshiko mzuri katika usajiri kitu ambacho wabahiri wa Emirates watashindwa kumtimizia.
Mambo yamebadilika makocha wanaofanya vizuri sasa ni vijana (Pep,Klopp,Jardim,Zizzou,Allegri,Pochettino,Conte,Inzaghi)sahihi mkuu vilevile player wakubwa wengi hawawapendi hawa makocha wadogowadogo dizain za kina arteta,wanataka kocha ambaye akiwatuma kufanya jambo wanatoa mwitiko halisi,mfano mzuri mesut yeye anasema ameongeza mkataba sababu ya wenger na amesikitika mno kuondoka kwake lakini anategemea atakayekuja ni kocha mkubwa dizan za kina wenger ili kuwe na discpline .........hawa makocha wadogo hawana mvuto kwa wachezaji wakubwa
daah hapa itakua ni kuruka majivu unakanyaga moto.Natabiri hii timu atapewa Mark Hughes au Tony Pulis wakikataa basi ni Big sam.
Miaka 14 sasa tangu Arsenal walipochukua ubingwa wa EPL huku wakijiwekea rekodi ya kipekee kabisa ya kuchukua ubingwa bila ya kupoteza mchezo hata mmoja (15-5-2004).
Michezo 38
kufunga 26
Draw michezo 12
kufungwa 0
Unapoitazama hii picha unakumbuka nini ukiachana na kuchukua ubingwa bila ya kupoteza mchezo hata moja?View attachment 777983
Basi Aseno wamchukue Conte.Ancelotti anakwenda Napoli while Sari huenda akatua Chelsea
Mkuu, hata tukipiga kelele humu JamiiForums nani atatusikia?! kumbuka tu wale season ticket holders hawasikilizwi ndio itakuwa sisi?! Timu kubwa tunampa mtu hana uzoefu?! ( I stand to be corrected on this), I am absolutely furious, but in vain...Hizi habari za kuja kwa Arteta ni kweli wadau?
Msijali, mbona Barca walipewa Guardiola akiwa junior kabisa kwenye coaching role lakini aliperform?? Kuweni na subira, mtatoboa tu.Mkuu, hata tukipiga kelele humu JamiiForums nani atatusikia?! kumbuka tu wale season ticket holders hawasikilizwi ndio itakuwa sisi?! Timu kubwa tunampa mtu hana uzoefu?! ( I stand to be corrected on this), I am absolutely furious, but in vain...
Hizi habari za kuja kwa Arteta ni kweli wadau?
Msijali, mbona Barca walipewa Guardiola akiwa junior kabisa kwenye coaching role lakini aliperform?? Kuweni na subira, mtatoboa tu.
Bottom of the line hakuna anayeshiba $€£¥ kaka labda afya isimruhusu.Tuchel & Jardim wanaweza kuifikisha Arsenal top 4 ,Ancelotti hana njaa ameshinda almost kila kitu na ameshafundisha ligi kubwa zote (Italy,England,France,Spain & Germany) ni pia rekodi yake sio nzuri kwenye domestic league.
Ancelotti ni kocha wa budget kubwa kitu ambacho Arsenal hawawezi kumpa hela but Allegri,Jardim na Tuchel sio makocha wanao hitaji budget kubwa
Ingawaje sitaki Vieira, Henry ,Arteta, Bergkamp au kocha mwingine asiye na uzoefu au CV nzuri kupewa mikoba, wakimpa Arteta wata-confirm narrative na fikra juu ya ubaguzi uliopo ktk soka vs makocha weusi. Arteta (I admit sijui knowledge yake kiukocha) hana tofauti na kina Bergkamp, Henry or Vieira ktk nyadhifa hii . No experience whatsoever. Afadhali PV atasema ameongoza timu as the coach
Ingawaje sitaki Vieira, Henry ,Arteta, Bergkamp au kocha mwingine asiye na uzoefu au CV nzuri kupewa mikoba, wakimpa Arteta wata-confirm narrative na fikra juu ya ubaguzi uliopo ktk soka vs makocha weusi. Arteta (I admit sijui knowledge yake kiukocha) hana tofauti na kina Bergkamp, Henry or Vieira ktk nyadhifa hii . No experience whatsoever. Afadhali PV atasema ameongoza timu as the coach