Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pigo kwetu...
Kwahiyo wamebakia kina Vierra na Arteta!
Duh..

Hapo ni Arteta ndio anapigiwa chapuo ingawa City washasema hawamtoi uyo Vieira mapema tu alionyesha hataki kisa ukubwa wa kazi ila alishukuru kwa heshima ya kutajwa kama mtu sahihi.
Tunaweza kua na msimu mbovu sana kama mambo yasipoenda sawa acha tusubiri.
 
Tatizo kwa kocha mpya ni kugeuzwa mindset ya wachezaji wa AW, kwamba sawa tupige mapasi, na mapasi ya kutosha, ila tuwe na njaa ya ushindi, tuwe ngangari, tuwe tunachukia kufungwa, wako kama hawajali chochote kile...
 
Kocha yoyote akienda baca hawezi kubadili falsafa ya timu ambayo ni pasi vivyo hivyo hata kwa aseno.
 
Tatizo kwa kocha mpya ni kugeuzwa mindset ya wachezaji wa AW, kwamba sawa tupige mapasi, na mapasi ya kutosha, ila tuwe na njaa ya ushindi, tuwe ngangari, tuwe tunachukia kufungwa, wako kama hawajali chochote kile...
Vieira namuona kama chaguo sahihi coz kwa kucheza Arsenal 9 seasons inamaana anaujua utamaduni wa Arsenal na nadhani anajua Arsenal inahitaji nini hasa. Spirit ya USHINDI kama nyakati anacheza yeye....nadhani mnakumbuka namna alivyokuwa anawapa shida sana kina ROY KEANE kina STEVEN GERRARD pale katikati....Vkeira alikuwa mpambanaji wa kweli. Gerrard na LAMPARD kwa vinywa vyao wamewahi kukiri kuwa hakuwahi kukutana na tough opponent katika nafasi walozokuwa wanacheza kama alivyokuwa Vieira.....#I go with Patrick Vieira
 
Tuna wakati mgumu!.
 
Huna hoja...kuwa - badala ya + twakuona msaliti, nenda kwenye thread husika...
Acha kubishana na huyo mwehu si shabiki wa Arsenal kwann upoteze muda naye.
Maumivu wanayo kwa kuwa arsenal ikipata kocha mwingine wataumia.Pamoja na uzembe wa wenger bado wameshindwa kumtoa top four within 20 yrs.Tofauti na arsenal hakuna timu iliyodumu top Four 20 yrs hii ni ishara ya ubora wa timu.
Matatizo yaliyopo arsenal ni madogo sana ukilinganisha na yaliyopo man,chesii na liver.
Timu bora yenye mashabiki wa muda mrefu wasioyumba ni arsenal hata hao wanaoponda timu ikikaa sawa watarudi.
Mashabiki wote wa chelsea,man city,totenham ni wahamiaji haramu maana hizo timu zimejulikana miaka michache tu karibuni na zinaweza poteana tena kutegemeana na mmiliki.
Newcastle ni timu maarufu ulaya kuliko chelsea na mancity lakini imepoteana kwa sasa na ndiyo kitakachozikuta hizo.
Timu za muda wote ni arsenal,liver na man tu.Msitutishe kwa mja leo muondoka kesho.Vivaaaaa arsenal!!!!!!.Naipenda timu yangu 26 ya ndoa na arsenal siiachi kamwe.
 
Arsenal kwasasa inahitaji kocha mwenye falsafa tofauti na Wenger

Inahitaji kocha atakayekuwa na spirit ya ushindi wa kuchukua kombe.

Iimarishe Ulinzi mathubuti (Defence) na kuruhusu wachezaji kujaribu kuscore wakiwa mbali hata nje ya box.
 
Patriotic, loyal, kudos ngosha...🙂🙂🙂 namna ile, sijuwi hata wanafuata nini humu kutonesha madonda yetu?! Ndorobo kabisa hao...
Long live ARSENAL...
 
Tunakubali kabisa...
 
Patriotic, loyal, kudos ngosha...🙂🙂🙂 namna ile, sijuwi hata wanafuata nini humu kutonesha madonda yetu?! Ndorobo kabisa hao...
Long live ARSENAL...
Tumeuza wachezaji bora kwenda virabu vingine kama baca,man na kwingineko bado tunakuwa ktk ubora.Just imagine fabregas,van persie,viera,essien,henry tuliwauza wakati mgumu na bado hatukushuka top four.Timu haina madeni kama zilivyo man,madrid na wengineo.
Mtu anaiponda arsenal ukimuuliza wewe ni shabiki wa timu gani anakwambia chelsea ambao makombe ya ligi kuu tu hata nusu hawatufikii achilia fa.
 
IMG_5887.JPG

Arteta....
Naona tunajiandaa kupiga tik tak na msuli wakati hatujavaa pichu ndani aya mambo ya kujaribu ni hatari sana ngoja tuone.
 
Mkuu bodi ya Arsenal always wanataka watu wa mishahara midogo. Kama itakuwa kweli kocha akawa huyo tumeumia.

Wana uhakika Arteta atakua kivuli tu hana ubavu wa kuwavimbia waajiri linapokuja suala la usajili hapo ndipo tutakapoumia.
 
Back
Top Bottom