Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal down to 10 man with a goal down...
 
Lei 3-1 Arsenal
Dakika ya 90
Tunaendeleza rekodi yetu ya kutoshinda ugenini kwa mwaka 2018
 
Kwa wale wote waliofikiria tunamchukia AW leo ndio wameelewa, ubovu huu wa timu ILIBIDI TU TUSEME "ENOUGH IS ENOUGH"
Kocha mpya pale inabidi aa "overhaul" almost half of the regulars, AW kadai kaacha "special players", kwa kweli sijaona, zaidi ya "mediocre" of players, season after season, hii hali ilikuwapo, nafikiri hata yeye kashuhudia..
Na kama AW angeendelea, wakuu msimu ujao (2018/19) sidhani hata kama kwenye top 10 tungekuwepo, zaidi ya kuwa kwenye hatari ya relegation..
Mavi yao kabisa..
 
Arsenal imempatia kiungo wa kati Jack Wilshere, 26, mkataba mpya wa miaka mitatu ikiwemo kuongeza mkataba huo kwa miezi 12 na hivyobasi kumzuia mchezaji huyo katika uwanja wa Emirates hadi 2022. (Mirror)
FB_IMG_1525942933362.jpg
 
Arsenal imempatia kiungo wa kati Jack Wilshere, 26, mkataba mpya wa miaka mitatu ikiwemo kuongeza mkataba huo kwa miezi 12 na hivyobasi kumzuia mchezaji huyo katika uwanja wa Emirates hadi 2022. (Mirror)View attachment 772373
Siyo mbaya kwa mchezaji wa Kiingereza, ila huwezi mfananisha na kina Santi Carzolla..At least anajitahidi kuliko Ozil..
 
Allegri ameamua kubaki Juve (tetesi) ni vema sala,maombi na kufunga ikawa sehemu ya maisha yetu kwa sasa mpaka atakapopatikana mrithi sahihi wa AW.
IMG_5841.JPG
 
Back
Top Bottom