McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Auba..
️
Arsenala 5-0 Burnley
Dakika ya 74
️Arsenala 5-0 Burnley
Dakika ya 74
️
Huyu dogo anahitaji good nurturing na kumpa confidence, ana skills na physique ya kuwa beki bora.Nice send off to Le Prof...
Watchout for Konstantinos Mavropanos, definitely a starter next season..
Nice send off to Le Prof...
Watchout for Konstantinos Mavropanos, definitely a starter next season..
Dogo mgiriki, hii ndio senior match yake ya pili, ya kwanza dhidi ya Manutd, licha ya kwamba Arsenal tulifungwa ila dogo alikula sahani moja na Lukaku bila kupaniki.Samahani Wakuu! Hili Jina Konstantinos Mavropanos Sio Familiar Sana na Mimi! Hivi Jina hili Ni Mzaliwa Wa Taifa la Greece?
barafuyamoto
Yuko vizuri mno aiseeeHuyu dogo anahitaji good nurturing na kumpa confidence, ana skills na physique ya kuwa beki bora.
Height 6'4 si mchezo!
Correct, bado anachezea under 21, nafikiri atapandishwa daraja kama akiwa regular ArsenalSamahani Wakuu! Hili Jina Konstantinos Mavropanos Sio Familiar Sana na Mimi! Hivi Jina hili Ni Mzaliwa Wa Taifa la Greece?
barafuyamoto
MAMBO YOTE ALLEGRI..Kama ilivyo kawaida yake Ornstein ameanza kutoa mwanga wa nini kinaendelea kwenye ishu ya mrithi wa AW mara zote uyu amekua mtu wa kutoa taarifa sahihi zaidi kuhusu Arsenal
View attachment 770291