Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man utd kafungwa 27 goals, Arsenal kafungwa 48 goals. Kabla ya mechi hii utd na city walikuwa sawa as best defense 26=26.
Hata Arsenal kafungwa una la kuongeza.
Hakuna ambaye hajafungwa uptodate kila timu imefunga na kufungwa.Kwa kikosi hiki man ndiyo mbovu.
 
Ainsley Maitland-Niles
munars2904.jpg
 

The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch


Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Mbona ile historia ya club haipo?
 
Kwani miaka 11 iliopita kuna mwingine Arsenal zaidi ya wenger?
So far man utd imekua na zaid ya makocha watatu. So kama Wenger aliprove failure mapema tu hakukua na sababu ya kusimama kifua mbele kwa 11 yrs but sababu ukizungumzia impact ya hiyo 11 yrs kwa timu kuanzia vikombe vya kitchen mpaka living room bado impact ya Manchester ni ndogo sana kwa Arsenal.

Najua kua wewe ni mtu makini na ni mfatiliaji mzuri pia unaweza kukubari kutokubaliana.
 
If you lose a game & the players give 100% and leave everything on the pitch you can't moan. I am proud of the young lads.
 
Back
Top Bottom