Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sub ya jack ndio imeua ushambuliaji wa arsenal, laccazet alitakiwa kutoka
 
Wenger ana roho mbaya sana, yaani anataka manager mpya akija upande wa mchezo uwanjani aikute Arsenal pale pale alipoikuta yeye, duh!
 
Once upo a time in this thread niliwahi Kusema Kuwa Kuondoka Kwa Arsene Wenger is not something to be Happy Kwani no one knows Nani atakuja after him!

Sasa imedhihiri Kwani Katika Mchakato unaoendelea Wa Kutafuta Makocha Tayari Utata umsshaanza Kujitokeza Kwani Hadi Jana Wameamua Kuendelea Kumuengua Mtu Mwengine Katika List ya Target Zao.

Si mwengine Bali Ni Luis Enrique ambaye Board ya Arsenal inasema Wage demand Yake Ni Kubwa £25m/year kwahiyo they can't afford to pay him such amount.

Kwasasahivi Watu Ambao Wanaongoza Katika Mbio Za Kuinoa Arsenal Ni VIERA na ARTETA kutokana Na Board ya Arsenal Kuplan Kurecruit Cheap Coach ili Kubalance revenue zake.

This is TRANSITIONAL PERIOD
Uzuri atakayekuja hatakuwa under pressure, Arsenal has arleady hit the bottom of the sea, the vessel can't sink anymore!!
 
Ile timu haihitaji kocha wa bei mbaya, yahitaji kocha wa kuwaambia, siyo kuwafundisha, art of defending and being offensive at the same time, yaonekana kuna wachezaji waliopo AW hakusumbuka kabisa kuwaambia ku defend ni kazi ya timu na siyo defenders peke yao..
Achana na Enrique, hata akichukuwa Vierra/Arteta, Bould, Tony Adams, poa tu...
Kama ni kocha wa kawaida, basi achukuliwe hata huyo namba mbilibwa Klopp, Buvac. Kama Klopp amefanya nae kazi miaka 17 na anamuita the brains, nina uhakika ana kitu kama cha Jurgen Klopp. Klopp ni kocha ninaye mtamani sana falsafa yake.
 
In his 22 seasons in North London, the 68-year-old the so called Wenger has reached two European finals with the club - both ending in defeat to Galatasaray (UEFA Cup 2000) and Barcelona (Champions League 2006)

He is a Domestic Cup Coach and Not European Cup Coach Like Pochetino and Simeone.

ROBERTO 20
barafuyamoto
 
Duh Sir Alex Ferguson ameiacha Manchester United na ubingwa lakini anisafa Je Arsene Wenger anaiacha nafasi ya 6 itakuwaje jamani???
 
Back
Top Bottom