UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Quality
️Mikhi...️
Utd 1-1 Arsenal
Dakika ya 53
[HASHTAG]#WengerIn[/HASHTAG]
Man ipi hii hii inayogongwa na westbrom.Man hataifunga arsenal labda sare.Magoli ya mvua siyaoni.Ina sharp foward lakn pia haina beki arsenal nao wana foward nzuri lakin beki haijatulia.Leo Arsenal tutapigwa mengi. Natarajia Man Utd 11-0 Arsenal.... Wenger Out...
Mtoto halali na hela!Utd 2-1 Arsenal
Dakika ya 93
Man utd kafungwa 27 goals, Arsenal kafungwa 48 goals. Kabla ya mechi hii utd na city walikuwa sawa as best defense 26=26.Man ipi hii hii inayogongwa na westbrom.Man hataifunga arsenal labda sare.Magoli ya mvua siyaoni.Ina sharp foward lakn pia haina beki arsenal nao wana foward nzuri lakin beki haijatulia.
Mwambieni babu akawapange hawa watoto kule Spain maanake wakubwa wao walifungwa 3-1 nyumbani wakati watoto wamefungwa 2-1 kwa mbiiiindee!umepata nguvu sio..?
Mwambieni babu akawapange hawa watoto kule Spain maanake wakubwa wao walifungwa 3-1 nyumbani wakati watoto wamefungwa 2-1 kwa mbiiiindee!