RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,754
- 129,487
Impact gani unayozungumzia wewe maanake hueleweki. Mimi nimeweka stats kuwa Arsenal hajaifunga Man utd at OT miaka 11 hizo tafsiri zako nyingine hazinihusu.So far man utd imekua na zaid ya makocha watatu. So kama Wenger aliprove failure mapema tu hakukua na sababu ya kusimama kifua mbele kwa 11 yrs but sababu ukizungumzia impact ya hiyo 11 yrs kwa timu kuanzia vikombe vya kitchen mpaka living room bado impact ya Manchester ni ndogo sana kwa Arsenal.
Najua kua wewe ni mtu makini na ni mfatiliaji mzuri pia unaweza kukubari kutokubaliana.
