RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,751
- 129,479
Kinachoonekana hapo ni mutual respect ambayo imeletwa na ushindani.Si hakuna kushindana tena! These guys are born winners, ingekuwa bado kuna kushindana sidhani kama ungeona vicheko pale..
Kinachoonekana hapo ni mutual respect ambayo imeletwa na ushindani.Si hakuna kushindana tena! These guys are born winners, ingekuwa bado kuna kushindana sidhani kama ungeona vicheko pale..
So far so good...I hope these kids wont implode..so far so good...
🙂🙂🙂🙂Man Utd supporters singing..
ARSENE WENGER WE WANT YOU TO STAY....
Wabovu wa england ni wakina nan??? Man u tumepiga timu zote kubwa englandArsenal itafungwa sababu moja tu so far babu huwaga hana option B mou amekuja anacheza mpila kama wake but kwa nizamu sana ila babu watoto wake wanajisahau nae karidhika matokeo yake counter tunawekwa na wabovu wa england hawa
Duh kweli mkuu?Yaani katika signings za AW, sijawahi ona mchezaji bom kama Granit Xhaka...ni bomu hakuna
Leo Arsenal tutapigwa mengi. Natarajia Man Utd 11-0 Arsenal.... Wenger Out...
Aise labda mimi tu, ila hakuna quality pale, siyo mchezaji wa kuchezea arsenal..Duh kweli mkuu?
KweliWabovu wa england ni wakina nan??? Man u tumepiga timu zote kubwa england
Huyu jamaa ni mchezaji mzuri sana amini tatizo ni mifumo tu ,naamini akija kocha aina tofauti na ya wenger jamaa atafanya vizuri sana ,Aise labda mimi tu, ila hakuna quality pale, siyo mchezaji wa kuchezea arsenal..
Hapana jamaa yuko vizuri sana, nafikiri mfumo wa AW ndio tatizo na kila siku anabadilishaAise labda mimi tu, ila hakuna quality pale, siyo mchezaji wa kuchezea arsenal..