UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Wacha 1 yuko wapi
Hakuna cha kupoteza ktk hii mechi so tunaenda kupasha dhidi game ya alhamisiNdugu zangu nasikia mnapumzisha wachezaji muhimu. Jitahidini 8-2 isijirudie. All the best.

Huyu co yule mchungaji maarufu?Mustafi,Kos,Wilshere,Ozil na Lacz hawajajumuishwa kwenye kikosi kilichosafiri kwenda jiji la Manchester.
AW amemamua hakuna namna tutajivuta kwenda kuwaangalia vijana wetu duh tuna beki anaitwa Osei Tutu hakika AW fundi![]()
Yule ni Desmond Tutu mkuuHuyu co yule mchungaji maarufu?
Kuna wakati Wenger alitaka kudanganya dunia hii nayo ni timu kubwa. LEO KIPIGO CHA MBWA KOKO. nyambaf.Leo mtu anapapaswa vilivyo nyumbani kwake..Tena sebuleni
Man ilishajifia bado kuzikwa tu.Kuna wakati Wenger alitaka kudanganya dunia hii nayo ni timu kubwa. LEO KIPIGO CHA MBWA KOKO. nyambaf.
Man utd 2nd place almost secured...hawana sababu ya kukomaaLeo Arsenal tutapigwa mengi. Natarajia Man Utd 11-0 Arsenal.... Wenger Out...
Si hakuna kushindana tena! These guys are born winners, ingekuwa bado kuna kushindana sidhani kama ungeona vicheko pale..Classy..
View attachment 760642