DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,870
Refa kasaidia nn mkuu?Kwa msaada wa refa....
Refa kasaidia nn mkuu?Kwa msaada wa refa....
COYGkuwafunga ATM lazima timu iwe na morali wa hali ya juu tofauti na hapo hii safari inaweza kua ngumu.
COYG....![]()
1-1Refa kasaidia nn mkuu?
Europa itakuwq hivyo, ila tatizo Madrid wanachukua watakapokutana na Roma.
Babu hana shida, shida ni wachezaji hawakuwa na plan B, wengi wao ni mizigo paleAW kwenye press conference...yes we still got chance, MATHEMATICALLY! *****..hakuna ku refresh/subs wala nini, hana plan B, heri babu aende tu..
Anashinda vizuri tu kwa sababu zifuatazo.Sioni ushindi wa arsenal kule spain lbd iwe ngekewa aseeee
Wamejiweka katika nafasi ngumu ya kusonga mbele ingawa kila kitu kinaweza kana katika football ila mazingira ni finyu .Watapambana na watu kumi na mmoja kisha pana mwingine mchezaji atakuwa jukwaani kwa hakika itabidi wafanye cha ziada kuweza kupenya. Jimwage mwage wamekuachia mzigo wote.Wamenisusia jukwaa lao
PRONDO upo salaam sana bwanaNdugu zangu nasikia mnapumzisha wachezaji muhimu. Jitahidini 8-2 isijirudie. All the best.
Leo tupo pamoja.PRONDO upo salaam sana bwana
Karibu sanaLeo tupo pamoja.
Hahahahha...mpira unadunda..tusubiri tuoneNdugu zangu nasikia mnapumzisha wachezaji muhimu. Jitahidini 8-2 isijirudie. All the best.
Im very sorry AW is leaving Arsenal coz im gonna miss all those wonderful moments he gave us(man utd fans)For those talking on the Next Arsenal manager, it will not be Allegri. Front runner and closest is Luis Enrique who has had multiple conversations with the board at the club. He will come in and be announced on the final game of the season with a number 2.
Najua unatuchekea pembeniIm very sorry AW is leaving Arsenal coz im gonna miss all those wonderful moments he gave us(man utd fans)