McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
GOOD NEWS:
Santi is BACK [emoji23][emoji23]
Santi is BACK [emoji23][emoji23]
Kumuona uwanjani ndo mpaka msimu ujao tenaGOOD NEWS:
Santi is BACK [emoji23][emoji23]
View attachment 757202
View attachment 757203
View attachment 757204
View attachment 757206
Timu imetulia, ila mwenzenu bado sielewi kwanini hatukumuuza Ozil, sijawahi ona mchezaji mvivu kama yule, najuwa nitapingwa kwa assist zake lakini ngosha hapana...
Kumuona uwanjani ndo mpaka msimu ujao tena
Atakuwa na miaka mingapi vile?
Europa itakuwq hivyo, ila tatizo Madrid wanachukua watakapokutana na Roma.Hope The Gunners Mutaifanya Spain iondoke Kapa Katika Mashindano Ya Europe
Hii game inatakiwa tuimalize huku emirates... Tukienda kwao tuitafute droo tu
COYG
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee.....!AW kwenye press conference...yes we still got chance, MATHEMATICALLY! *****..hakuna ku refresh/subs wala nini, hana plan B, heri babu aende tu..
Wamenisusia jukwaa laoWaungwana kazeni buti jamaa wanataka hata mkiwafunga iwe idadi ndogo
Still 1-1Dakika ya 11
Red card kwa ATM