Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

tuombe heri maana 'scape goat' kaondoka sasa sijui tutamlaumu nani.
Sio Scapegoat, mzee ni dhahiri aliishiwa, club inatakiwa iprogress na new ideas. Ndio mabadiliko mazuri yanaweza yasije mara moja lakini nina uhakika tutarudi kugombea ubingwa wa ligi kama tukipata kocha mwingine mzuri. Inaweza kuchukuwa makocha zaidi ya wawili but tutafika.
 
Hivi nani anafaa kati ya simeon na allergri nani anafaa kuwanoa vijana wakaiva kisawa sawa
 
Sitamani kuona BR anakuja pale kabisa pia sina imani na viera but allergri au simeoni sawa ila ancelot hapana
 
Board had a meeting today with Luis Enrique for a possible move to Arsenal but he made it clear that he will come if the board are willing to spend money on 5 big name players , here he named out Isco as his number 1 target . He also made it clear that he will get rid of the likes of , Welbeck , Cech , koscielny and Monreal . He also wants Jeff back from loan . Ivan did not like the way he speak , but he told them that he is very honest and don’t want any secrets . They will meet again in 2 weeks . As Arsene wants Patrick to be his assistant.
 
Coyg
IMG_20180423_212644.jpg
IMG_20180423_212458.jpg
IMG_20180423_212412.jpg
IMG_20180422_093855.jpg
 
Board had a meeting today with Luis Enrique for a possible move to Arsenal but he made it clear that he will come if the board are willing to spend money on 5 big name players , here he named out Isco as his number 1 target . He also made it clear that he will get rid of the likes of , Welbeck , Cech , koscielny and Monreal . He also wants Jeff back from loan . Ivan did not like the way he speak , but he told them that he is very honest and don’t want any secrets . They will meet again in 2 weeks . As Arsene wants Patrick to be his assistant.
Dream
 
Bado nitabaki kumwamin wenger,awepo au asiwepo,na ndo maana malalamiko meng wenger out wenger out lakin ukiwauliza nan anatufaa hakuna jib la uhakika daaaah mashabiki sisi bhana hatar sana
 
Board had a meeting today with Luis Enrique for a possible move to Arsenal but he made it clear that he will come if the board are willing to spend money on 5 big name players , here he named out Isco as his number 1 target . He also made it clear that he will get rid of the likes of , Welbeck , Cech , koscielny and Monreal . He also wants Jeff back from loan . Ivan did not like the way he speak , but he told them that he is very honest and don’t want any secrets . They will meet again in 2 weeks . As Arsene wants Patrick to be his assistant.

5 big names players?? Hao ni around £400m! Anamtishia [HASHTAG]#Nyau[/HASHTAG] Kroenke?? Yetu Macho.
 
Sio Scapegoat, mzee ni dhahiri aliishiwa, club inatakiwa iprogress na new ideas. Ndio mabadiliko mazuri yanaweza yasije mara moja lakini nina uhakika tutarudi kugombea ubingwa wa ligi kama tukipata kocha mwingine mzuri. Inaweza kuchukuwa makocha zaidi ya wawili but tutafika.
Change is good for progression, tulikuwa stagnant, babu alikuwa "safe" mno, kama vile hakuna wa kumwambia kitu, akawa kiziwi na blind, alikuwa anaona kama anapoteza mtoto wake, its natural, ila ile ni kazi, kwenye kazi lazima kuna siku ustaafu/uondoke/ufukuzwe n.k.
Tunamshukuru sana na kumtakia kila la heri, tutaendelea kuwa washabiki wake, ila muda ulifika kuachana, ukweli unauma..
AW will always be a Legend at Arsenal, nobody, but nobody can take that away from him...
 
Arsenal yatenga milion 50 za usajili kwa kocha mpya atakayekuja!
Ndugu zangu kwa bajeti hii nadhani atakuja Allan Pardew hata Benitez hawezi kuja!
Wkt Liverpool inatenga Milion 300 kuimarisha team ww kocha unampa milion 50 then unataka UCL spot kupitia EPL?
Tupunguze utani jamani
 
Izo ni Tetesi tu kama ni ivyo wangebaki na Mbahili Wenger
 
Arsenal yatenga milion 50 za usajili kwa kocha mpya atakayekuja!
Ndugu zangu kwa bajeti hii nadhani atakuja Allan Pardew hata Benitez hawezi kuja!
Wkt Liverpool inatenga Milion 300 kuimarisha team ww kocha unampa milion 50 then unataka UCL spot kupitia EPL?
Tupunguze utani jamani
Ktk biashara hasa ya mpira kutangaza dau kubwa sana ni kuvuruga biashara mutual agreement inakuwa with high cost where efficiency ,affectiveness and economy for money value is unpredictable.Anayeanza na dau dogo hazuiliwi kupanda.Lazima uwe makini.Umakini siyo ubahili.Kizuri lazima kisotewe.
 
Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ametangaza saprize moja kali kabla ya mchezo wa Ligi Europa dhidi ya Atletico Madrid leo usiku.

Wenger amesema langoni atamsimamisha David Ospina pamoja na kuwa haamini sana langoni.

The Gunners inakwaana na kikosi cha Diego Simeone kwenye Uwanja wa Emirates, wakiwa na lengo moja kutwaa ubingwa wa Europa ili kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya kama ilivokuwa kwa Manchester United.

Licha ya umuhimu wa mchezo wenyewe, The Mirror liliripoti kwamba Wenger alisema hawezi kumpanga langoni kipa, Petr Cech katika kikosi cha kwanza licha ya kuwa fiti kwa mchezo huo baada ya kuwa majeruhi.

Cech hakucheza mechi waliyoshinda mabao 4-1 dhidi ya West Ham na aliumia nyonga kiasi cha kumtioa shaka katika mchezo na Atletico.

Wenger aliwashangaza wachezaji wake baada ya kupanga listi akisema, langoni atasimama Ospina, ambaye amecheza mechi nane tu za michuano hiyo.

Uamuzi wa Wenger umewashangaza wachezaji wa Arsenal kumpanga Ospina kwa kuwa hakuwa akicheza kila siku kikosini Arsenal kwa msimu mzima na Wenger anataka kuweka rehani heshima yake Ligi ya Europa.

Mesut Ozil hakuwemo kwenye kikosi cha West Ham tangu Wenger atangaze kuachaa na Arsenal mwisho wa msimu, na atareje kwenye kikosi cha Atletico.
 
Back
Top Bottom