McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Nilisema muangalieni Arnautovich
Chicharito ameongeza kitu kwenye fowardline yao uyu Arnautovich angekua makini jahazi lingekua limezama kitambo.
Nilisema muangalieni Arnautovich
[emoji16][emoji16] Auba atawapa woga!!! floopAt last Auba anaingia badala ya Iwobi angalau tutawapa uwoga mabeki wao
Nimehamia soton vs chelsea dk 10 narudi 3-1Chicharito ameongeza kitu kwenye fowardline yao uyu Arnautovich angekua makini jahazi lingekua limezama kitambo.
Nimehamia soton vs chelsea dk 10 narudi 3-1
Sasa Chelsea wakishinda FA cup London kutakalika? S'ton kushinda leo ni miujiza 42mins now wanachezewa nusu uwanja[emoji23][emoji23] unawachungulia wapinzani wako wa Wembley,kwa heshima ya final natamani mkutane na Chelsea,juzi wale kuku wa Spurs walipoanza kututusi na shombo kibao ikabidi dua zangu zihamie kwenu na wangeshinda London pasingekalika.
Sasa Chelsea wakishinda FA cup London kutakalika? S'ton kushinda leo ni miujiza 42mins now wanachezewa nusu uwanja
Be prepared!Afadhali kelele za Rent boys kuliko vurumai zenu swahiba [emoji4]
Aise jana nilicheka kishenzi, tena nikala kama 40,000/- hivi, ilikuwa siku nzuri mno, mno..[emoji23][emoji23] unawachungulia wapinzani wako wa Wembley,kwa heshima ya final natamani mkutane na Chelsea,juzi wale kuku wa Spurs walipoanza kututusi na shombo kibao ikabidi dua zangu zihamie kwenu na wangeshinda London pasingekalika.
karibu karibu mkuu..Natangaza Rasmi kurudi kwenye jukwaa langu pendwa
karibu karibu mkuu..
Natangaza Rasmi kurudi kwenye jukwaa langu pendwa
McDonald niliahidi kurudi sasa nimerudiKaribu sana.