Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbona kapigwa Jana pamoja na hao striker wa kidunia baba, mpira unadunda etii
Mech ya kwanza walishashinda wale waliingia kutafuta droo costa na greizman wamekosa goli nyingi sana za waz
 
Arsenal tuna kimbiza mwizi kimya mpaka tunyanyue ndoo, moja kwa moja msimu ujao UEFA...,
 
Na sisi tutaingia na mentality ya WIN ili tupambane vizuri, hakuna aliyeingia hatua hiyo kwa ngekewa kila mmoja kapambana
Ila kipa hamna safar hii yule jamaa kawaje sijui kama arsenal angetolewa lawama angebeba
 
Mech ya kwanza walishashinda wale waliingia kutafuta droo costa na greizman wamekosa goli nyingi sana za waz
Hata sisi game ya kwanza tulishinda tena nyingi 4 wao mbili tu, wamefungwa tumedroo
 
Ukiacha uzembe wa cech jana hata covering ilikuwa poor sana hasa kwa beki.All goals could be saved by either goalkeeper or defenders as it was died balls.
 
Mkuu usivutie ngoz kwako atletico anakikos kipana sio kama chako ana striker wa 3 level ya kidunia timu yoyote wanaingia mech ya jana waliingia na mentality ya droo wale
Hakuna kitu mkuu wale wanafungika vizuri tu,
 
Mech ya kwanza walishashinda wale waliingia kutafuta droo costa na greizman wamekosa goli nyingi sana za waz
Mbona hiyo droo waliikosa?????
Costa na greizman walikosa kusudi au uwezo uliishia pale,mbona wenyw walikoswakoswa nyingi tu
 
Ukiacha uzembe wa cech jana hata covering ilikuwa poor sana hasa kwa beki.All goals could be saved by either goalkeeper or defenders as it was died balls.

Ospina apone mapema aiseeee,uyu Cech naona kabisa atatuletea balaa kama la jana maana goli zote aliamua kutuchimbia kaburi.
 
Mkuu usivutie ngoz kwako atletico anakikos kipana sio kama chako ana striker wa 3 level ya kidunia timu yoyote wanaingia mech ya jana waliingia na mentality ya droo wale
Usidanganye yaani Atl jana katokea tundu la sindano bora hata aseno walifunguka wakasawazisha.Wale madogo uzoefu tu ndo uliwakosa na kushindwa kutumia nafasi walizopata.Sijaona alichofanya grizman wala costa.Mpira kweli unadunda nimeamini.
 
Back
Top Bottom