Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Usidanganye yaani Atl jana katokea tundu la sindano bora hata aseno walifunguka wakasawazisha.Wale madogo uzoefu tu ndo uliwakosa na kushindwa kutumia nafasi walizopata.Sijaona alichofanya grizman wala costa.Mpira kweli unadunda nimeamini.
Basi sawa arsenal kweli mwamba lazima ndoo abebe anashambulia sana
 
IMG_5315.JPG
 
Wakuu naona product yenu (Olivier Giroud) inatusaidia kimtindo.

Sio mbaya ...ila siwaombei mema Europa.
 
The fee Arsenal paid for Aubameyang can buy the entire Newcastle team.
 
Poor arsenal, nimeamini maoni ya rafiki yangu shabiki wa Arsenal kuwa ni muda muafaka sasa Wenga kupuyanga
 
Magpies' first win against Arsenal at St James' park since 2005
 
Arsenal had lost 11 EPL games in a season for only the second time under Wenger
 
Poleni sana japo mmekimbia uzi wenu.

Ni bora ushabikie rede utaona chupi , kuliko Arsenal.


Wapigweeeeeeee....
2018-04-15%2017.25.32.jpg
 
Kuna wakati huyu bwana alitaka kuihadaa dunia kwamba Arsenal ni timu kubwa duniani, na ni moja ya top 4 England
Screenshot_20180415-175629.jpg
 
Back
Top Bottom