Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

To the semis, ila tena Ozil, kajamaa kavivu sana, nashangaa wamekapa ulaji wa kufa mtu, kweli bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi..
 
Kikosi kilichocheza game ya kwanza home kilikuwa complete sana, jana kukosekana kwa xhaka na mikhi lilikuwa ni tatizo sasa bora xhaka anaweza kurudi mapema na ikiwezekana tutakuwa nae kwenye game za nusu fainali ila kwa mikhi sizani labda tufike final ndo anaweza kucheza
 
bora atm nusu fainali tutakua na mechi mbili
either tujiulize au kuna mahali tukazie

[HASHTAG]#coyg[/HASHTAG]
 
Kazi mnayo
1523615919650.jpg
 
Back
Top Bottom