Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

bora atm nusu fainali tutakua na mechi mbili
either tujiulize au kuna mahali tukazie

[HASHTAG]#coyg[/HASHTAG]
Katika kipind ambacho wachezaji wanatakiwa kuonyesha kujituma kwao ni kipindi hiki waonyeshe kuwa kombe wanalitaka
 
Acha hizo kwa wananini hao ATM mpaka tushindwe kuwakung'uta tena wanaanzia kwetu tunawachabanga vizuri tu goli tatu itapendeza zaidi
Atletico mnaweza kumdunda ila sio man united ndo mana nakwambia hata ukikaza utabamizwa tu
 
Katika kipind ambacho wachezaji wanatakiwa kuonyesha kujituma kwao ni kipindi hiki waonyeshe kuwa kombe wanalitaka
Sipendi makombe yote yaende spain nataka moja libak england uefa au ueropa kazeni bana ila hamna timu ya spain hata moja itatoka kapa tia akilin
 
Sipendi makombe yote yaende spain nataka moja libak englend uefa au ueropa kazeni bana ila hamna timu ya spain hata moja itatoka kapa tia akilin
ATM itatoka kapa huko UEFA wapambane na hali yao
 
Chelsea,liverpool,spurs,man city arsenal mech ya nyumban kwako

Unalingine mjomba?
Lingine ni kwamba hata nikikufunga kwangu haibadilishi chochote au kwako acha nipambane na hii ndoo inayonukia hapa
 
ATM itatoka kapa huko UEFA wapambane na hali yao
Mkuu usivutie ngoz kwako atletico anakikos kipana sio kama chako ana striker wa 3 level ya kidunia timu yoyote wanaingia mech ya jana waliingia na mentality ya droo wale
 
Mkuu usivutie ngoz kwako atletico anakikos kipana sio kama chako ana striker wa 3 level ya kidunia timu yoyote wanaingia mech ya jana waliingia na mentality ya droo wale
Na sisi tutaingia na mentality ya WIN ili tupambane vizuri, hakuna aliyeingia hatua hiyo kwa ngekewa kila mmoja kapambana
 
Lingine ni kwamba hata nikikufunga kwangu haibadilishi chochote au kwako acha nipambane na hii ndoo inayonukia hapa
Yap hii ndo point ya msingi hata mzee wenger nimeona mkazo wake upo huko mana timu ngumu ni atletico tu mkipita kigingi hiki mnapepea kizur mnaanzia hom tia nyingi kule mnapumua kama zile za cska moscow
 
Back
Top Bottom