Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lacazatte...
Lacz Scores from the spot
Arsenal 2-1 CSKA
Dakika ya 23
 
HT
Arsenal 4-1 CSKA
Honestly kuna mpira fulani leo tunauonyesha ambao ni muda mrefu hatujaucheza inawezekan opponent wetu ni dhaifu pia.
 
Pamoja na kuongoza ila backline yetu ni nyepesi sana nivile tu tunastriking force kali imetupatia magoli ila beki inayumba mno

Mzee wenger inabidi apunguze kiungo mmoja mbunifu amuingize Elneny atusaidie kukaba inanipa mashaka sana
 
Back
Top Bottom