Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Arsenal 4-1 CSKA
'Sexy football' ni kitu ambacho nimekiona leo baada ya muda mrefu,tulistahili kupata goli zaidi ya 4 ila sio kesi acha tuone itakuaje tukienda kwa walevi 2nd leg ila leo nimefarijika na kiwango cha wachezaji.
 
Kwenye haya mashindano naziona timu 3 zenye nguvu arsenal,atletico na lazio kuna huyu wa nne rb leipzig huyu king'ang'aniz haelewek kasimamia wap
 
Wenger out ,out now
Fukuzafukuza inaweza isibadilishe matokeo kuna muda kuipata cream ktk timu huchukua muda hata aje kocha gan na akasajili kama cream ya wachezaj wazur haikupatikana bado timu itachukua muda kupata mafanikio mfano madrid wamehangaika toka 2003 had 2009 ndipo wakaanza kurud ktk jina lao wamepita makocha na plyers wa maana wengi sana ukija buyern nenda barca now manchester united the same to arsenal
 
I don't care. Wenger out ..
 
IMG_3488.JPG
 
Kwenye haya mashindano naziona timu 3 zenye nguvu arsenal,atletico na lazio kuna huyu wa nne rb leipzig huyu king'ang'aniz haelewek kasimamia wap

Atletico anastahili hii ndoo naongea kama shabiki wa football,ila kiushabiki sio mbaya kama YUROPA ikaja gheto kwetu iwe ni mlango wa kurudi UCL ingawa hatujajipanga kurudi.
 
Ramsey anazidi kupandisha thamani yake.....
Kama akisaini new contract,releasing clause yake inatakiwa iwe 80+..........kwanza ana miaka mingapi....??
 
Ramsey noma aisee.Kafanya mengi maajabu.Kwa mwendo huu mi naona Atletico akikutana na arsenal itapendeza fainal.
Arsenal inaimprove kutokana na majeruhi kupungua.
 
😀😀😀 umenichekesha sana aisee....kwangu Rambo ni mzur kuliko hata pogba toka afunge ile hatrick....
Natamani na mm fainali ya hivyo....na itapendeza zaidi kama tukimtwaa mwali... .
Ramsey noma aisee.Kafanya mengi maajabu.Kwa mwendo huu mi naona Atletico akikutana na arsenal itapendeza fainal.
Arsenal inaimprove kutokana na majeruhi kupungua.
 
Hongereni sana kwa ushindi mnono mmejiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele. Hatua kama hii japo si katika kombe hili tena hilo kombe lina thamani na maana kubwa kuliko hili mliweza kupenya na mpaka mkaingia fainali. Sasa basi jikiteni katika hili muweze kufika fainali na kunyanyua kwapa ninawatakieni kila la kheir katika mbio zenu hizi.
 
Back
Top Bottom