Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG_20180406_151742.jpeg
 
tumejitahidi tumepambana sana japo beki hatuna kwa sasa huyu chambers na mustafi mmmmhhhhhhhh
 
Kurudi UCL mwakani itabidi mchukue Yuropa lkn haiwezekani sababu hilo kombe ni la Atletico Madrid
Nadhani mtaendelea kuwepo Yuropa kwa miaka 7 au nane zaidi sababu teams za kuwepo UCL toka EPL zinajulikana sasa!
Nani sasa hayaogopi Majogoo!?
 
Duh uchawi wazwaz
 
Back
Top Bottom