Matajiri zenu sio watu wa mpira na ubakhiri wa babu yenu kama anatoa zake za mfukoni huo muunganiko ndio unawatesa. Mtabaki kumpa sifa alijenga uwanja wa emirates basi.Shukrani Mkuu, timu ina pesa chungu nzima lakini ubahili ndiyo ubahili wale wapuuzi wa Kimarekani hawajui chochote kuhusu football wao wameweka pesa mbele na kudharau kabisa kuhusu performance ya timu.
Ebana duuh,Duh hii hatari
Mkuu Arsenal ninawajua leo wanashinda 3-0. Mechi ijayo wanashinda 2-0 baada ya hapo washabiki wa Arsenal katika ubora wao wanasahau lawama zote wanazompa AW.Our starting XI
![]()
Oooops.....Mkuu Arsenal ninawajua leo wanashinda 3-0. Mechi ijayo wanashinda 2-0 baada ya hapo washabiki wa Arsenal katika ubora wao wanasahau lawama zote wanazompa AW.
Mkuu Arsenal ninawajua leo wanashinda 3-0. Mechi ijayo wanashinda 2-0 baada ya hapo washabiki wa Arsenal katika ubora wao wanasahau lawama zote wanazompa AW.


️Chifu, kweli nilipotea. AW anahitaji kujitathmini. Hastahili kufukuzwa.Ushapotea mkuu maana wadogo wameshatupiga 1 mpaka sasa,alafu umesahau kua clean sheet kwetu ni mtihani siku hizi![]()