pure gunner
Member
- Feb 5, 2018
- 38
- 26
Niende Nba pamoja na kua mimi ni shabiki wa aseno lakini hapana hii si halali hasa management haitendi haki kabisa
kila mtu acheze game zake tusimtegemee jirani kukupunguzia gap.
Mkuu umeongea maneno ya busara sana acha niwatakie matokeo mema hizo game zenu zijazoFT
Arsenal 0-3 City
Mwisho wa siku timu bora imepata matokeo chanya,Arsenal tuna game na Brighton next sunday(a must win game) then alhamisi tutakipiga na Milan kwenye EUROPA 1st leg tunaanzia ugenini we real need to pick up ourselves kwenye hizi game mbili.
Wanazi mliovamia jukwaa najua wengi wenu mmeumizwa sana na matokeo ila swali ni nani amfunge paka kengele wengi wenu mmechezea kichapo toka kwa hawa City kwenye mzunguko wa kwanza na bado hamjui itakuaje siku yenu ikifika,kila mtu acheze game zake tusimtegemee jirani kukupunguzia gap.
Tukishinda,tukifungwa au tukipata sare bado nitaendelea kua shabiki wa Arsenal,Once a GOONER .............!
Unamaanisha Man United Walitaka Umfunge Man City ili uwapunguzie Gap waendeleze zile FALSE HOPE zao za kuufukuzia ubingwa au?
Aisee. Long live Le Professeri Hassan Wenge!..omba tuingie robo fainali ya ulaya utaona jinsi timu itakavyo anza kijiamini..
Hata mimi siku hizi nasubiri matokeo tu baada ya mechi,yaani huyu babu anakera sana..Mkuu mie hata mechi siku hizi siangalii. Babu kaua timu usajili mbovu upangaji timu mbovu mradi majonzi tu. BURE GHALI!
Pole sana ndugu yangu najua hali mnayopitiaMkuu mie hata mechi siku hizi siangalii. Babu kaua timu usajili mbovu upangaji timu mbovu mradi majonzi tu. BURE GHALI!
Pole ndugu yangu najua ni kipindi
Pole sana ndugu yangu najua hali mnayopitia
kama liverpool eeeeehhhhh hahahajajajUkifatilia mechi za asernal karibu zote
Wanafungwa kirahisi sana
Wanatafuta magori kwa shida lakini wanafungwa kilainiiii
mechi 3 dhidi ya city msimu huu umepigwa zote siyo kawaida ya wenger kabisa hii hahahajajajFT