FT
Arsenal 0-3 City
Mwisho wa siku timu bora imepata matokeo chanya,Arsenal tuna game na Brighton next sunday(a must win game) then alhamisi tutakipiga na Milan kwenye EUROPA 1st leg tunaanzia ugenini we real need to pick up ourselves kwenye hizi game mbili.
Wanazi mliovamia jukwaa najua wengi wenu mmeumizwa sana na matokeo ila swali ni nani amfunge paka kengele wengi wenu mmechezea kichapo toka kwa hawa City kwenye mzunguko wa kwanza na bado hamjui itakuaje siku yenu ikifika,kila mtu acheze game zake tusimtegemee jirani kukupunguzia gap.
Tukishinda,tukifungwa au tukipata sare bado nitaendelea kua shabiki wa Arsenal,Once a GOONER .............!