Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nitaamini kwenye mpira kuna uchawi kama Arsenal msimu ujao atacheza Champions League
 
Tayari Wameshakula Hat-Trik eeh! Wanamahesabu Baada Ya Kumaliza Hii Game Naomba Mutuekee Takwimu Sahihi Ya Season hii ili tujue Arsenal Wamefungwa Magoli Mangapi na Man City Msimu huu!
 
Muda sio mrefu sana Arsenal haitakuwa inahesabika kama ni moja ya timu kubwa Uingereza
 
Huyu dogo amekunywa sumu jana sababu ya Wenger.

Wenger gotta go!
b13760cb9bb31e185991dde59330b4ea.jpg
 
Wewe ROBERTO 20 ulianza na mbwembwe lakini Sasa umeingia Mitini!!!
Najua utakuja Na Kisingizio cha Kuwa Majukumu Yamekukaba utazani Hapo Mwanzo Ulikuwa Hufanyi Nazi! 😀 😀 😀
 
Mzee huyu hana golikipa

Kila shambulizi Kali goooooo

No matter mpaka Leo hiyo cheki clean sheet ya 200 imemshinda
 
Kipa hawezi kujipanga kabisa

Vyovyote mabeki wakijichanganya kipa naye chalk

Cheki anapigwa sana . na huyu kipa atamfukuzisha Wenger bila shaka
 
Timu ya Asernal inafungika kirahisi mno

Uwepo was cheki pale gokini usiku zote nikituko

Anamuda mrefu sana anatafuta clean sheet ya 200 imemshinda

Mara anakosa mpira

Mara anawapasia wafungaji

Mara anaanguka hovyohovyo anafungwa

Yaani yule golikipa atawazalisha magoli sana Asernal
 
Kwema humu ,nawakubusha n Leo mnafungwa tena na alhamic ijayo Gatuso anawafunga tena
 
Back
Top Bottom