Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah mkuu hilo litakuwa goli la dhahabu
Mvua najua bora nini bora jua mvua najua bora nini bora mvua mbona mnanichanganya wengine jua wengine mvua

Kufungwa na droo bora nini bora drooo kufungwa na droo bora nini bora kufungwa mbona mnanichanganya wengine kufungwa wengine droo

Namaliza na verse

Jibu litapatikana baadae mkionesha ustarabu mana kufungwa ni noma unaweza hata ukaokota makopo kwa uchizi droo angalau umepunguza fedheha ila kufungwa na underdog nyumban ni udhaifu mkubwa.

Huyo ni jay moe mbakiaji famous.
 
😀 😀 😀 😀 😀
 
IMG_20180223_152619_732.JPG
 
Huu mchezo wa 5 February 2011 kati ya Newcastle na Arsenal washabiki wa Arsenal hawatasahau Kabisa
4:0 hadi dakika ya 70
lakini mpaka kipenga kinapulizwa goli la Tiote linawanyamazisha kabisa Arsenal
 
Kadi ya diaby ilitugharimu mnoo.
 
Huu mchezo wa 5 February 2011 kati ya Newcastle na Arsenal washabiki wa Arsenal hawatasahau Kabisa
4:0 hadi dakika ya 70
lakini mpaka kipenga kinapulizwa goli la Tiote linawanyamazisha kabisa Arsenal

Duh! Nilikwisha Sahau Hii Chandimu
 
kama zamani mechi ya AC Milan vs Arsenal ni bonge ya game na ingwaweka wapenzi wa soka duniani katika ushabiki mkubwa wee fikiria huku Gatuso kule Viera na kule Henry na huku Shevchenko je utamu ungekuwaje??

Kwa AC Milan hiyo Arsenal angerowa 5
 
Tukimpga huyu Milan
Ntaendelea kuipenda aseno dam dam
 
Back
Top Bottom