joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,843
- 39,468
Oya mpira unaoneshwa station gani
Oya mpira unaoneshwa station gani
️Supersport hawaonyesh hiiSwahiba hata sijui ni channel gani maana naona tu hapa kibanda umiza wanaonyesha ila sio Dstv.
MobdroSwahiba hata sijui ni channel gani maana naona tu hapa kibanda umiza wanaonyesha ila sio Dstv.

Unaionea wapKitu ambacho hakiwezi kuja kutokea milele mkuu
mechi hii wameichunia wengi sana. inaelekea haina mkwanja mwingi. haina wadhamini kabisa. BT sport hawaonyeshi, bien sport hawaonyeshi. ipo kwenye sky sportUnaionea wap
Aiseee ndo maana wameachanamechi hii wameichunia wengi sana. inaelekea haina mkwanja mwingi. haina wadhamini kabisa. BT sport hawaonyeshi, bien sport hawaonyeshi. ipo kwenye sky sport
Kwese sport 1 inaoneshwa piaUnaionea wap
️
️Maisha si mazuri kwa ujumlaKompany....️
Arsenal 0-2 City
Dakika ya 58y