Arsenal (The Gunners) | Special Thread



Wewe unajua Mpira si Kama wale Walioleta Tafrani Kwa Kumfunga Everton ambaye tayari ni Maiti.
 
ndugu zangu arsenal hii hali imeanza tena?
 

Attachments

  • IMG_20180210_214403_927.JPG
    51.5 KB · Views: 57
  • IMG_20180210_214414_756.JPG
    33.9 KB · Views: 53
  • IMG_20180210_214426_878.JPG
    35.8 KB · Views: 50
hilo goli moja tulibahatika tu, wale wadude walikuwa wanatengeneza nafasi za kutufunga kila mara, bahati haikuwa kwao, leo tungelia 5 pengine
Nilikuwa natizama kupitia mobdro yule mwarabu nilisikia akisema sana neno KHAMSA sasa kwa andiko lako hili nimemuelewa.nyanda wenu jana alikuwa timamu pana moja erikson kampeleka mawinguni akaenda kuupa daraja ilikuwa tamu sana.
 
Wewe upo nafasi ya ngapi?
 
Si Mchezo! Yani Uzi umegeuka Kuwa Kituo Cha Polisi! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Msishangae ndo mtu wenu huyo jana hiyo hamna alichokifanya uwanjani zaidi ya kucheza 90' .

 
ukweli usemwe, hawa Totnham wako vema ukifungwa nao goli moja shukuru Mungu. Wakishika mpira roho juu juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…