Mechi ya kesho wala sina wasiwasi. Arsenal ndio timu pekee yenye rekodi ya kuutumia uwanja wa Wembley vizuri na kwa mafanikio.
Nina hakika kesho Totenham analoa 4 kwa ubuyu.
Ila nadhani Wenger angekuwa anamuamini Maintland Niles maana dogo ni fundi wa kukaba na kudrible.