Ulaya hakuna kibonde. Once you make a mistake your opponent capitalizes.....Czech kwenye Ile mechi alichangia kwa kiasi fulani....Kha kha kaaaaaaaa kwa hiyo umehalalisha kufungwa na kibonde![]()
Ulaya hakuna kibonde. Once you make a mistake your opponent capitalizes.....Czech kwenye Ile mechi alichangia kwa kiasi fulani....Kha kha kaaaaaaaa kwa hiyo umehalalisha kufungwa na kibonde![]()
Gooners bhana...mchezaji huyu hajawahi hata kuwa mchezaji bora wa wiki siku za karibuni eti kwao ndio habari ya mjini.
Is not an official information from any club...anybody may create such a loop just to justify his/her feelings
Ulaya hakuna kibonde. Once you make a mistake your opponent capitalizes.....Czech kwenye Ile mechi alichangia kwa kiasi fulani....
Asante my fellow Gooner...we may blame our strikers and defenders lakini kosa moja la mchezaji may cost a team immenselyAngalau Cech kaonyesha uungwana kwa kuomba radhi ila iko wazi ana makosa ambayo yanatugharimu.
![]()
Asante my fellow Gooner...we may blame our strikers and defenders lakini kosa moja la mchezaji may cost a team immensely
Habari yako ya mjini ni Sanchez ambaye kila mwezi ni best player.PatheticGooners bhana...mchezaji huyu hajawahi hata kuwa mchezaji bora wa wiki siku za karibuni eti kwao ndio habari ya mjini.
Umri siyo rafiki kwake kwa sasa....AW anatakiwa atafute Goalkeeper mwingine....Yeah for sure,ndio maana pamoja na kua ame-tweet ivo ila Gooners wamemshambulia kua haiwezi kurudisha points tulizopoteza worse enough Cech anafanya makosa mengi recently.
Habari yako ya mjini ni Sanchez ambaye kila mwezi ni best player.Pathetic
Giroud hawezi kuwa striker no 1 labda angerudi timu za France unafikiri kule Chelsea ndio atakuwa na nafasi kuliko Arsenal ?OG alitaka kuondoka mwanzoni mwa msimu aligoma kua back up striker alitaka apewe game time ya kutosha ili aweze kua sehemu ya kikosi kitakachoenda WC na kocha France alimuambia ilo ivyo ilikua suala la muda tu yeye kuondoka maana AW alionyesha wazi hakua chaguo lake namba 1 tena.
Nimesema kitambo sana OG ni striker safi kabisa ila hana foot work kabisa ivyo kusubiria aerial balls tu ni kichaa fulani kitakua bado ametufungia magoli 100+ kwenye mechi 256 (kama sijakosea) lazima nikubali kua ni bora ILA hawezi kua sawa na Auba hasa kwa mahitaji yetu ya sasa au Lacz ambae anahitaji muda kidogo ku-adopt EPL ukimtazama Lacz utagundua ana offer vitu vingi kuliko OG bado naamini AW amefanya sawa ila kama angetokea mwehu wa kumtaka Welbz alafu tukauza OG hapo ningemaindi.
Giroud hawezi kuwa striker no 1 labda angerudi timu za France unafikiri kule Chelsea ndio atakuwa na nafasi kuliko Arsenal ?
Kumbuka Foward ya Arsenal ilikuwa na Walcot,Sanchez,Wellbeck,OG,Lacazette katika hao 2 wameondoka na Wellbeck ni spana mkononi anytime anaweza akarudi wodini so mtu wa kumpa pressure alikuwa Lacazette naye alikuwa kwenye kipindi kigumu kucheza game 9 bila kufunga goli still angemsaidia sana Wenger kama Lacazette bado hajazoea usitegemee Auba kuzoea EPL mapema
Giroud & auba yes they can get more than five goals I can bet on thatSijasema OG anaenda kua chaguo la kwanza kule Chelsea nina uhakika sijaandika popote pale.
Unaataka kutuambia kua bora asingemuuza OG ili aendelee kubaki Arsenal na tumkose Auba?sitegemei Auba aanze ku-delivery mapema hii kama ambavyo naamini itakua ngumu kwa Auba,OG na Sanchez kufunga zaidi ya goli 5 kwenye timu zao mpya kwa muda uliobaki kwenye EPL.
Giroud & auba yes they can get more than five goals I can bet on that
Mkuu soma vizuri post yangu kuna neno "..siku za karibuni"Haujui kitu kila siku nakuambia mzee nenda kaangalie Ozil amekua mchezaji bora wa Germany kwa miaka mingapi,rejea rekodi zake uwanjani na mchango wake kwenye timu duh wewe jamaa rudi kashabikie NETBALL uku naona umepotea mzee.
Nah hard feelingz bro'
...and thereafter Arsenal win 3 vs SWANSEA 1.*Arsenal sell Ox to Liverpool, Man City 5-0 Liverpool*
*Arsenal sell Sanchez to Man Utd, Tottenham 2-0 Man Utd*
*Arsenal sell Giroud to Chelsea, Bournemouth 3-0 Chelsea*
*Nani mwingine anataka tumuuzie Iwobi*![]()




Mchezaji gani?Pierre-Emerick Aubameyang anaugua lakini huenda akaanzishwa kwa mara ya kwanza na Arsenal katika mechi dhidi ya Everton itakayochezwa katika uwanja wa Emirates.
Arsenal ilivunja rekodi yao ya uhamisho baada ya kumleta mchezaji huyo kutoka Borussia Dortmund kwa dau la £ 56m katika siku ya mwisho ya uhamisho.
Na Arsene Wenger amesema huenda mchezaji huyo akaongoza safu ya mashambulizi kuanzia sasa hadi mwisho wa msimu.
Wenger amesema kuwa Auba atakaguliwa kimatibabu kabla ya mechi ya Arsenal dhidi ya Everton hapo kesho.
''Lazima akaguliwe maungo , alikuwa na homa kwa hivyo hakuweza kufanya mazoezi mengi. Alianza jana, lakini bado hajapona . Nitafanya ukaguzi na idara ya matibabu nione iwapo atakuwa tayari kwa siku ya Jumamosi'', alisema Wenger katika mkutano wake na vyombo vya habari.
''Wenger pia aliwaelezea waandishi lengo lake la kumsajili Auba. Ni mshambuliaji mwenye kasi na uwezo wa kufunga mabao katika mechi anazocheza'', alisema Wenger.
Wakati huohuo raia huyo wa Ufaransa pia alifichua kwamba mchezaji wa zamani wa Arsenal amekuwa akifanya mazoezi katika klabu hiyo ili kuimarisha maungo yake huku akitafuta klabu mpya baada ya kuachiliwa na klabu ya Urusi Rubin kazan.
''Anatafuta klabu mpya, hakuna zaidi, akifutilia mbali uwezekano kwamba huenda akaichezea tena Arsenal''.